Waumini Watamuona Allaah (Ta´ala) Kihakika

Waumini watamuona kihakika, kama alivyosema Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam): "Mtamuona Mola wenu kama mnavyouona mwezi mpevu. Hamtosongamana katika kumuona siku hiyo." Kama ilivyotoa dalili Qur-aan na Sunnah kwa hilo, Yeye ndiye Anayeendesha mambo kwa Mkono Wake (Jalla wa ´Alaa). “Na Mungu wenu ni Allaah Mmoja tu, hapana mungu ila Yeye. Mwingi wa Rehema, Mwenye Kurehemu.” (02:163) “Hakika Mungu wenu ni Allaah tu. Hapana Mungu isipokuwa Yeye. Ujuzi wake umeenea kila kitu.” (20:98)

Waumini watamuona kihakika, kama alivyosema Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam):

“Mtamuona Mola wenu kama mnavyouona mwezi mpevu. Hamtosongamana katika kumuona siku hiyo.”

Kama ilivyotoa dalili Qur-aan na Sunnah kwa hilo, Yeye ndiye Anayeendesha mambo kwa Mkono Wake (Jalla wa ´Alaa).

“Na Mungu wenu ni Allaah Mmoja tu, hapana mungu ila Yeye. Mwingi wa Rehema, Mwenye Kurehemu.” (02:163)

“Hakika Mungu wenu ni Allaah tu. Hapana Mungu isipokuwa Yeye. Ujuzi wake umeenea kila kitu.” (20:98)


  • Author: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz. Mkanda "Sharh Swahiyh al-Bukhaariy"
  • Kitengo: Uncategorized , Kuonekana kwa Allaah siku ya Qiyaamah
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Monday 13th, January 2014