Watu Wajuzi Kabisa Wa Mambo Ya Kisasa

Baadhi ya waghafilikaji wanafikiria kuwa na ujuzi wa mambo ya kisasa (Fiqh-ul-Waaqi') inahusiana na kujua ni bara bara ngapi zipo Paris, Cairo na Marekani na kama hujui Jiografia basi wewe huelewi mambo ya kisasa. Watu wajuzi kabisa wa mambo ya kisasa ni Ahl-us-Sunnah na khaswa Shaykh Ibn Baaz na Shaykh al-Albaaniy. Mzungumzaji: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy Chanzo: Fadhwaa'ih wa Naswaaih, uk. 110 Toleo la: 16-10-2014 Imefasiria na: Wanachuoni.com

Baadhi ya waghafilikaji wanafikiria kuwa na ujuzi wa mambo ya kisasa (Fiqh-ul-Waaqi’) inahusiana na kujua ni bara bara ngapi zipo Paris, Cairo na Marekani na kama hujui Jiografia basi wewe huelewi mambo ya kisasa.

Watu wajuzi kabisa wa mambo ya kisasa ni Ahl-us-Sunnah na khaswa Shaykh Ibn Baaz na Shaykh al-Albaaniy.

Mzungumzaji: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
Chanzo: Fadhwaa’ih wa Naswaaih, uk. 110
Toleo la: 16-10-2014
Imefasiria na: Wanachuoni.com


  • Kitengo: Uncategorized , Manhaj
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Thursday 16th, October 2014