Watu Ambao Shaykh Rabiy´ al-Madkhaliy Katahadharisha Nao

Ama kuhusiana na Shaykh Rabiy´ bin Haadiy al-Madkhaliy, ni mwanaume wa Sunnah. Anathubutu kutahadharisha juu ya upotevu. Anatahadharisha pia baadhi ya watu. Hata hivyo hatahadharishi kwa mtu ambaye anajua ana Manhaj iliosalimika. Mtu huyu namjua vizuri. Ninamjua na mtu wa kabla yake aitwaye Muhammad Amaan al-Jaamiy ambaye asli yake alikuwa ni kutoka Ethiopia. Alisoma katika shule ya ar-Riyaadh na akachukua shahada kutoka katika chuo kikuu. Kuna kheri nyingi kwa mtu huyu. Hakuna shaka ya kwamba hakuna yeyote katika sisi ambaye amelindwa na madhambi, lakini kama alivyosema mshairi: "Kuhesabiwa kasoro za mtu kunatosheleza kuthibitisha utukufu wake" Watu hawa ni wanaume wa ´Aqiydah. Mtu hakhofii juu yao ya kwamba wanawasahilishia watu mambo yanayopelekea katika Shirki au ya haramu na himidi zote ni Zake Allaah. Ni wenye shauku. Baadhi yanaweza kuwa makali katika maneno yake. Wanafunzi wanatakiwa waangalie kuchukua elimu kwa wanachuoni hata kama sio [sauti isiyosikika] katika baadhi ya [sauti isiyosikika]. Ninakariri kumsifu Shaykh Rabiy´ bin Haadiy kuonekana kwa Shaykh wetu - na himidi zote ni Zake Allaah - [sauti isiyosikika], vitabu na ugumu katika Da´wah. Alichukua shahada katika chuo kikuu cha al-Madiynah na katika shule za kielimu.

Ama kuhusiana na Shaykh Rabiy´ bin Haadiy al-Madkhaliy, ni mwanaume wa Sunnah. Anathubutu kutahadharisha juu ya upotevu. Anatahadharisha pia baadhi ya watu. Hata hivyo hatahadharishi kwa mtu ambaye anajua ana Manhaj iliosalimika. Mtu huyu namjua vizuri. Ninamjua na mtu wa kabla yake aitwaye Muhammad Amaan al-Jaamiy ambaye asli yake alikuwa ni kutoka Ethiopia. Alisoma katika shule ya ar-Riyaadh na akachukua shahada kutoka katika chuo kikuu. Kuna kheri nyingi kwa mtu huyu. Hakuna shaka ya kwamba hakuna yeyote katika sisi ambaye amelindwa na madhambi, lakini kama alivyosema mshairi:

“Kuhesabiwa kasoro za mtu kunatosheleza kuthibitisha utukufu wake”

Watu hawa ni wanaume wa ´Aqiydah. Mtu hakhofii juu yao ya kwamba wanawasahilishia watu mambo yanayopelekea katika Shirki au ya haramu na himidi zote ni Zake Allaah. Ni wenye shauku. Baadhi yanaweza kuwa makali katika maneno yake. Wanafunzi wanatakiwa waangalie kuchukua elimu kwa wanachuoni hata kama sio [sauti isiyosikika] katika baadhi ya [sauti isiyosikika].

Ninakariri kumsifu Shaykh Rabiy´ bin Haadiy kuonekana kwa Shaykh wetu – na himidi zote ni Zake Allaah – [sauti isiyosikika], vitabu na ugumu katika Da´wah. Alichukua shahada katika chuo kikuu cha al-Madiynah na katika shule za kielimu.