Wasifu Wa Shaykh Zayd bin Haadiy al-Madkhaliy

JINA LAKE NA UKOO WAKE Ni mwanachuoni, bingwa wa Fiqh, Salaf aliyebaki, Shaykh wetu, ´Allaamah, Abu Muhammad Zayd bin Muhammad bin Haadiy al-Madkhaliy kutoka katika kabila la Madaakhilah ambalo ni mashuhuri katika kitongoji cha Jizaan kusini mwa mamlaka ya Saudi Arabia. Ni moja katika makabila ya Baniy Shabiyl. Shabiyl alikuwa Ibn Yashjub bin Ya´rib bin Qahtwaan. KUZALIWA KWAKE Alizaliwa katika mwaka wa 1357 H sawa na mwaka wa 1938 katia mji wa Ru´kuubah, ina uhusiano rasmi na mkoa wa Swaamitwah katika jimbo la Jizaan. Iko katika mashariki ya Swaamitwah, takriban kilomita tatu kwa umbali kutokea mjini hivi leo. KUKUWA KWAKE Shaykh alikulia kwenye mikono ya wazazi wake katika kijiji chake na mama yake na Shaykh alifariki wakati Shaykh alikuwa na miaka saba. Mama yake (Rahimaha Allaah) alikuwa anajulikana kwa wema na Dini. Baba yake alifariki wakati Shaykh alikuwa na umri wa miaka thelathini. Baba yake na ndugu zake, Shaykh Ahmad bin Ahmad ´Uluush al-Madkhaliy (Rahimahu Allaah) alikuwa akimshaji´isha Shaykh Zayd kutafuta elimu katika kipindi cha utoto wake. ELIMU YAKE NA KAZI ZAKE Wale wanaomjua Shaykh wanatambua zuhdi (kuipa nyongo dunia) kukubwa alikuwa nako, jambo ambalo halikumfanya kuitafuta wala kuiuliza. Bali alikuwa amejisalimisha na elimu, kuisambaza, kuifunza, kutoa fatwa na uandishi. KAZI ZAKE ZA ZAMANI NA SASA 1- Alikuwa mwalimu katika Ma´had ya kielimu katika mwaka wa 35 mpaka alipostafu katika tarehe 01 Rajab katika mwaka wa 1417 H. 2- Alikuwa Imaam na Khatwiyb katika Msikiti wake. Shaykh alikuwa akifanyia ziara katika jimbo na kutoa mihadhara ndani ya Misikiti yake. 3- Shaykh aliweka Maktabah ya kwanza ya Salafiyyah katika mji wa Swaamitwah mwaka wa 1416 H ambayo ndani yake ilikuwa na rasilimia 7000 ikiwa ni huduma kwa watafutaji wa elimu ambao wanaijia kutoka kila mahali. 4- Alianzisha daurat Imaam ´Abdullaah bin Muhammad al-Qar´aawiy (Rahimahu Allaah) na Shaykh Ahmad bin Yahyaa an-Najmiy, ambayo alikuwa anasimamia. Wanafunzi wengi kutoka ndani ya mamlaka ya Saudi Arabia na nje yake walikuwa wakihudhuria daurat hii kila wakati wa majira ya joto (summer). Hii ilikuwa katika mwaka wa 1416 H. 5- Alikuwa ni raisi wa idara ya al-Maktabah at-Ta´aawaniy ya Da´wah, uongofu na kueneza ufahamu wa (Kiislamu) Swaamitwah. Hii ilikuwa ni katika mwaka wa 1423 H. 6- Kushiriki kwake katika kueneza ufahamu wa Kiislamu katika Hajj kuanzia mwaka wa 1398 H mpaka 1398 kwa muda wa miaka 27. 7- Kusimama kwake imara kwa kufundisha katika Msikiti wake na kujibu fatwa katika kitongoji chake. WAALIMU ZAKE 1- Shaykh ´Aliy bin Muhammad Hajj Mahjuuriy al-Madkhaliy 2- Shaykh Haadiy bin Haadiy al-Madkhaliy 3- Shaykh ´Abdullaah bin Muhammad Qar´aawiy 4- Shaykh Haafidhw bin Ahmad al-Hakamiy 5- Shaykh Muhammad bin Ahmad al-Hakamiy 6- Shaykh Jaabir bin Sulaymaan al-Madkhaliy 7- Shaykh ´Aliy bin Yahyaa al-Bahkuuliy 8- Shaykh Ahmad bin Yahyaa an-Najmiy 9- Shaykh Hasan bin Muhammad Shibiyr an-Najmiy 10- Shaykh Muhammad bin Muhammad Jaabir al-Madkhaliy 11- Shaykh Naaswir bin Khuluufiy Twa´ayaash Mubaarikiy 12- Shaykh Muhammad Amaan bin ´Aliy al-Jaamiy 13- Shaykh ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz 14- Shaykh ´Abdur-Rahmaan an-Najdiy 15- Shaykh ´Abdullaah bin ´Abdir-Rahmaan al-Ghudayaan 16- Shaykh Muhammad ´Attwiyah Saalim WANAFUNZI ZAKE Katika fadhila za Allaah kwa wanachuoni wetu, Shaykh Zayd bin Muhammad bin Haadiy al-Madkhaliy alisimama kwa kufundisha zaidi ya miaka 50. Alikuwa na wanafunzi wengi kutoka miji mbali mbali na nchi. Kuna watu wengi wenye akili miongoni mwa wanafunzi zake, ambao wamekuwa ni walinganizi wakubwa katika Dini ya Allaah. BAADHI YA VITABU AMBAVYO VIKO CHINI YA UCHAPISHAJI 1- Majmuu´ Khutwab al-Jumu´ah 2- Sharh al-´Aqiydah al-Waasitwiyyah 3- Sharh al-Laamiyyah Ibn Taymiyyah 4- Tafsiyr al-Qur-aan al-´Adhwiym WANACHUONI WALIYOMSIFU NA VITABU VYAKE 1- Shaykh ´Allaamah Muhammad bin Ahmad al-Hakamiy 2- Shaykh ´Allaamah Ahmad bin Yahyaa an-Najmiy 3- Shaykh Muhaddith profesa Rabiy´ bin Haadiy al-Madkhaliy 4- Shaykh Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan 5- Shaykh Muhammad bin ´Abdillaah Subayl 6- Shaykh ´Abdul-Muhsin bin Hamad al-´Abbaad al-Badr 7- Shaykh ´Aliy bin Muhammad bin Naaswir al-Faqiyh 8- Shaykh ´Ubayd bin ´Abdillaah al-Jaabiriy 9- Shaykh Swaalih bin Sa´d as-Suhaymiy 10- Shaykh Swaalih bin ´Abdil-´Aziyz Aal ash-Shaykh 11- Shaykh Sulaymaan bin ´Abdillaah Abaa Khaliyl 12- Shaykh Wasiylullaah bin Muhammad ´Abbaas 13- Shaykh ´Abdullaah bin Sa´d bin Muhammad as-Sa´d 14- Profesa Hasan bin ´Aliy Abu Twaalib al-Qaadwiy 15- Shaykh ´Aliy bin ´Abdillaah al-Aahdal 16- Prince Muhammad bin Naaswir bin ´Abdil-´Aziyz Aal Su´uud 17- Prince Faysal bin Muhammad bin Naaswir bin ´Abdil-´Aziyz Aal Su´uud

JINA LAKE NA UKOO WAKE

Ni mwanachuoni, bingwa wa Fiqh, Salaf aliyebaki, Shaykh wetu, ´Allaamah, Abu Muhammad Zayd bin Muhammad bin Haadiy al-Madkhaliy kutoka katika kabila la Madaakhilah ambalo ni mashuhuri katika kitongoji cha Jizaan kusini mwa mamlaka ya Saudi Arabia. Ni moja katika makabila ya Baniy Shabiyl. Shabiyl alikuwa Ibn Yashjub bin Ya´rib bin Qahtwaan.

KUZALIWA KWAKE

Alizaliwa katika mwaka wa 1357 H sawa na mwaka wa 1938 katia mji wa Ru´kuubah, ina uhusiano rasmi na mkoa wa Swaamitwah katika jimbo la Jizaan. Iko katika mashariki ya Swaamitwah, takriban kilomita tatu kwa umbali kutokea mjini hivi leo.

KUKUWA KWAKE

Shaykh alikulia kwenye mikono ya wazazi wake katika kijiji chake na mama yake na Shaykh alifariki wakati Shaykh alikuwa na miaka saba. Mama yake (Rahimaha Allaah) alikuwa anajulikana kwa wema na Dini. Baba yake alifariki wakati Shaykh alikuwa na umri wa miaka thelathini. Baba yake na ndugu zake, Shaykh Ahmad bin Ahmad ´Uluush al-Madkhaliy (Rahimahu Allaah) alikuwa akimshaji´isha Shaykh Zayd kutafuta elimu katika kipindi cha utoto wake.

ELIMU YAKE NA KAZI ZAKE

Wale wanaomjua Shaykh wanatambua zuhdi (kuipa nyongo dunia) kukubwa alikuwa nako, jambo ambalo halikumfanya kuitafuta wala kuiuliza. Bali alikuwa amejisalimisha na elimu, kuisambaza, kuifunza, kutoa fatwa na uandishi.

KAZI ZAKE ZA ZAMANI NA SASA

1- Alikuwa mwalimu katika Ma´had ya kielimu katika mwaka wa 35 mpaka alipostafu katika tarehe 01 Rajab katika mwaka wa 1417 H.

2- Alikuwa Imaam na Khatwiyb katika Msikiti wake. Shaykh alikuwa akifanyia ziara katika jimbo na kutoa mihadhara ndani ya Misikiti yake.

3- Shaykh aliweka Maktabah ya kwanza ya Salafiyyah katika mji wa Swaamitwah mwaka wa 1416 H ambayo ndani yake ilikuwa na rasilimia 7000 ikiwa ni huduma kwa watafutaji wa elimu ambao wanaijia kutoka kila mahali.

4- Alianzisha daurat Imaam ´Abdullaah bin Muhammad al-Qar´aawiy (Rahimahu Allaah) na Shaykh Ahmad bin Yahyaa an-Najmiy, ambayo alikuwa anasimamia. Wanafunzi wengi kutoka ndani ya mamlaka ya Saudi Arabia na nje yake walikuwa wakihudhuria daurat hii kila wakati wa majira ya joto (summer). Hii ilikuwa katika mwaka wa 1416 H.

5- Alikuwa ni raisi wa idara ya al-Maktabah at-Ta´aawaniy ya Da´wah, uongofu na kueneza ufahamu wa (Kiislamu) Swaamitwah. Hii ilikuwa ni katika mwaka wa 1423 H.

6- Kushiriki kwake katika kueneza ufahamu wa Kiislamu katika Hajj kuanzia mwaka wa 1398 H mpaka 1398 kwa muda wa miaka 27.

7- Kusimama kwake imara kwa kufundisha katika Msikiti wake na kujibu fatwa katika kitongoji chake.

WAALIMU ZAKE

1- Shaykh ´Aliy bin Muhammad Hajj Mahjuuriy al-Madkhaliy

2- Shaykh Haadiy bin Haadiy al-Madkhaliy

3- Shaykh ´Abdullaah bin Muhammad Qar´aawiy

4- Shaykh Haafidhw bin Ahmad al-Hakamiy

5- Shaykh Muhammad bin Ahmad al-Hakamiy

6- Shaykh Jaabir bin Sulaymaan al-Madkhaliy

7- Shaykh ´Aliy bin Yahyaa al-Bahkuuliy

8- Shaykh Ahmad bin Yahyaa an-Najmiy

9- Shaykh Hasan bin Muhammad Shibiyr an-Najmiy

10- Shaykh Muhammad bin Muhammad Jaabir al-Madkhaliy

11- Shaykh Naaswir bin Khuluufiy Twa´ayaash Mubaarikiy

12- Shaykh Muhammad Amaan bin ´Aliy al-Jaamiy

13- Shaykh ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz

14- Shaykh ´Abdur-Rahmaan an-Najdiy

15- Shaykh ´Abdullaah bin ´Abdir-Rahmaan al-Ghudayaan

16- Shaykh Muhammad ´Attwiyah Saalim

WANAFUNZI ZAKE

Katika fadhila za Allaah kwa wanachuoni wetu, Shaykh Zayd bin Muhammad bin Haadiy al-Madkhaliy alisimama kwa kufundisha zaidi ya miaka 50. Alikuwa na wanafunzi wengi kutoka miji mbali mbali na nchi. Kuna watu wengi wenye akili miongoni mwa wanafunzi zake, ambao wamekuwa ni walinganizi wakubwa katika Dini ya Allaah.

BAADHI YA VITABU AMBAVYO VIKO CHINI YA UCHAPISHAJI

1- Majmuu´ Khutwab al-Jumu´ah

2- Sharh al-´Aqiydah al-Waasitwiyyah

3- Sharh al-Laamiyyah Ibn Taymiyyah

4- Tafsiyr al-Qur-aan al-´Adhwiym

WANACHUONI WALIYOMSIFU NA VITABU VYAKE

1- Shaykh ´Allaamah Muhammad bin Ahmad al-Hakamiy

2- Shaykh ´Allaamah Ahmad bin Yahyaa an-Najmiy

3- Shaykh Muhaddith profesa Rabiy´ bin Haadiy al-Madkhaliy

4- Shaykh Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan

5- Shaykh Muhammad bin ´Abdillaah Subayl

6- Shaykh ´Abdul-Muhsin bin Hamad al-´Abbaad al-Badr

7- Shaykh ´Aliy bin Muhammad bin Naaswir al-Faqiyh

8- Shaykh ´Ubayd bin ´Abdillaah al-Jaabiriy

9- Shaykh Swaalih bin Sa´d as-Suhaymiy

10- Shaykh Swaalih bin ´Abdil-´Aziyz Aal ash-Shaykh

11- Shaykh Sulaymaan bin ´Abdillaah Abaa Khaliyl

12- Shaykh Wasiylullaah bin Muhammad ´Abbaas

13- Shaykh ´Abdullaah bin Sa´d bin Muhammad as-Sa´d

14- Profesa Hasan bin ´Aliy Abu Twaalib al-Qaadwiy

15- Shaykh ´Aliy bin ´Abdillaah al-Aahdal

16- Prince Muhammad bin Naaswir bin ´Abdil-´Aziyz Aal Su´uud

17- Prince Faysal bin Muhammad bin Naaswir bin ´Abdil-´Aziyz Aal Su´uud


  • Author: Mukhtasari wa wasifu wa Shaykh Zayd kutoka tovuti ya www.sahab.net
  • Kitengo: Uncategorized , Wasifu
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Friday 21st, March 2014