Wanaume Tu Ndio Wameruhusiwa Kuyatembelea Makaburi

Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kasema: “Allaah Kawalaani wanawake wenye kuzuru makaburi na wale wenye kuyafanya kuwa Misikiti na [wale wenye kuyawekea] mataa.”[1] Hadiyth hii imepokelewa na Ahl-us-Sunan katika vitabu vya Sunan. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kuwalaani wanawake wanaoyatembelea makaburi ni dalili inaonesha kwamba mwanamke haijuzu kwake kwenda kutembea kwenye makaburi. Ni wanaume tu ndio wameruhusiwa kutembea kwenye makaburi. Laana inaonesha vilevile dalili ya kwamba matembezi ya mwanamke kwenye makaburi ni dhambi kubwa. -------------------- (1) Abu Daawuud (3236) na at-Tirmidhiy (320). at-Tirmidhiy kasema: ”Hadiyth ya Ibn ´Abbaa ni Hasan.” al-Albaaniy kasema kuwa ni Swahiyh katika ”Swahiyh-ul-Jaami´” (5109).

Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kasema:

“Allaah Kawalaani wanawake wenye kuzuru makaburi na wale wenye kuyafanya kuwa Misikiti na [wale wenye kuyawekea] mataa.”[1]

Hadiyth hii imepokelewa na Ahl-us-Sunan katika vitabu vya Sunan. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kuwalaani wanawake wanaoyatembelea makaburi ni dalili inaonesha kwamba mwanamke haijuzu kwake kwenda kutembea kwenye makaburi. Ni wanaume tu ndio wameruhusiwa kutembea kwenye makaburi. Laana inaonesha vilevile dalili ya kwamba matembezi ya mwanamke kwenye makaburi ni dhambi kubwa.

——————–
(1) Abu Daawuud (3236) na at-Tirmidhiy (320). at-Tirmidhiy kasema: ”Hadiyth ya Ibn ´Abbaa ni Hasan.” al-Albaaniy kasema kuwa ni Swahiyh katika ”Swahiyh-ul-Jaami´” (5109).


  • Author: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan. Sharh Masaail-il-Jaahiliyyah, uk. 164
  • Kitengo: Uncategorized , ´Ibaadah
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Friday 10th, January 2014