Wanasema Kuwa Tuna Msimamo Mkali – Halitudhuru!

Kama tulivyosema ya kwamba yule atakayefuata Manhaj ya wale walioneemeshwa atapewa mitihani, kupondwa, kudharauliwa, kuonekana kuwa ni mpotevu na kutishwa. Hivyo kunahitajia subira. Ndio maana imekuja katika Hadiyth ya kwamba mtu ambaye anashikama na Dini yake bara bara katika zama za mwisho ni kama mwenye kushika kaa la moto. Hili ni kwa sababu atakutana na maudhi na madhara kutoka kwa watu. Anahitajia kuwa na subira kama mwenye kushika kaa la moto. Hili si kama ngoma kwenye waridi kama wanavyofikiria watu. Hili ndani yake kuna matatizo na maudhi kutoka kwa watu. Linahitajia subira na thabati mpaka ukutane na Mola Wako na wewe uko katika hali hii ili uokoke na Moto. Utaokoka na upotevu duniani na utaokoka na Moto Aakhirah. Hakuna njia ingine isipokuwa hii na wala hakuna uokovu unge. Leo inapondwa Manhaj ya Salaf kwenye suhuf, magazeti na vitabu. Na wanawaponda vilevile Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah na Salafiyyuun wa kihakika wanapondwa. Wanasema kuwa wana msimamo mkali na kwamba ni Takfiyriyyuuun (wenye kukufurisha Waislamu) na hivi na vile - lakini hili halidhuru. Lakini linamuathiri yule mtu ambaye hana subira na hana amza yenye nguvu. Hili linaweza kumuathiri.

Kama tulivyosema ya kwamba yule atakayefuata Manhaj ya wale walioneemeshwa atapewa mitihani, kupondwa, kudharauliwa, kuonekana kuwa ni mpotevu na kutishwa. Hivyo kunahitajia subira. Ndio maana imekuja katika Hadiyth ya kwamba mtu ambaye anashikama na Dini yake bara bara katika zama za mwisho ni kama mwenye kushika kaa la moto. Hili ni kwa sababu atakutana na maudhi na madhara kutoka kwa watu. Anahitajia kuwa na subira kama mwenye kushika kaa la moto. Hili si kama ngoma kwenye waridi kama wanavyofikiria watu. Hili ndani yake kuna matatizo na maudhi kutoka kwa watu. Linahitajia subira na thabati mpaka ukutane na Mola Wako na wewe uko katika hali hii ili uokoke na Moto. Utaokoka na upotevu duniani na utaokoka na Moto Aakhirah. Hakuna njia ingine isipokuwa hii na wala hakuna uokovu unge.

Leo inapondwa Manhaj ya Salaf kwenye suhuf, magazeti na vitabu. Na wanawaponda vilevile Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah na Salafiyyuun wa kihakika wanapondwa. Wanasema kuwa wana msimamo mkali na kwamba ni Takfiyriyyuuun (wenye kukufurisha Waislamu) na hivi na vile – lakini hili halidhuru. Lakini linamuathiri yule mtu ambaye hana subira na hana amza yenye nguvu. Hili linaweza kumuathiri.