Wanaopinga Upokezi Wa Mtu Mmoja Katika Mambo Ya ´Aqiydah

Kwa kuwa kuko ambao wanasema kwamba Akhbaar-ul-Ahaad, upokezi wa mtu mmoja hautendewi kazi katika mambo ya ´Aqiydah isipokuwa unatendewa kazi katika mambo madogo madogo, kwa kuwa ni dalili zinazotia dhana. Tunasema kwamba zinawatia dhana nyinyi, ama Ahl-ul-Iymaan haziwatii dhana isipokuwa zinafidisha yakini maadamu zimethibiti kutoka kwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) basi zinafidisha elimu. Hivyo haziweki dhana. Zinatendewa kazi katika mambo ya ´Aqiydah, mu´amala na mengineyo. Mwandishi: Imaam Abu Bakr ´Abdullaah bin Daawuud as-Sijistaaniy Chanzo: al-Haaiyyah Mshereheshaji: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan Chanzo: "Sharh al-Haaiyyah", uk. 61

Kwa kuwa kuko ambao wanasema kwamba Akhbaar-ul-Ahaad, upokezi wa mtu mmoja hautendewi kazi katika mambo ya ´Aqiydah isipokuwa unatendewa kazi katika mambo madogo madogo, kwa kuwa ni dalili zinazotia dhana. Tunasema kwamba zinawatia dhana nyinyi, ama Ahl-ul-Iymaan haziwatii dhana isipokuwa zinafidisha yakini maadamu zimethibiti kutoka kwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) basi zinafidisha elimu. Hivyo haziweki dhana. Zinatendewa kazi katika mambo ya ´Aqiydah, mu´amala na mengineyo.

Mwandishi: Imaam Abu Bakr ´Abdullaah bin Daawuud as-Sijistaaniy
Chanzo: al-Haaiyyah
Mshereheshaji: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Chanzo: “Sharh al-Haaiyyah”, uk. 61


  • Kitengo: Uncategorized , Ashaa´irah
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Tuesday 11th, February 2014