Wanaofanya Uasi Dhidi Ya Watawala Wa Kiislamu Ni Katika Ahl-us-Sunnah?

Wale ambao wanaomba dhidi ya watawala wa Waislamu sio katika madhehebu ya Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah na kadhalika wale wasiowaombea. Hii ni alama ya kwamba yuko na upindaji katika ´Aqiydah ya Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah. Baadhi ya watu wanawakataza wale wenye kuwaombea watawala katika Khutbah na wanasema kuwa huku ni kuwapaka mafuta na unafiki. Ametakasika Allaah! Haya ndio madhehebu ya Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah. Bali katika Sunnah ni kuwaombea Du´aa watawala. Kwa sababu wakinyooka na watu pia watanyooka. Wewe unachotakiwa ni kuwaombea wema na uongofu na kheri hata kama wana mabaya. Lakini vilevile wana mazuri. Maadamu bado ni Waislamu wana kheri. Mwandishi: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan Chanzo: Sharh ´Aqiydat-it-Twahaawiyyah, Uk. 172 Toleo la: 24-10-2014 Imefasiriwa na: Wanachuoni.com

Wale ambao wanaomba dhidi ya watawala wa Waislamu sio katika madhehebu ya Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah na kadhalika wale wasiowaombea. Hii ni alama ya kwamba yuko na upindaji katika ´Aqiydah ya Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah.

Baadhi ya watu wanawakataza wale wenye kuwaombea watawala katika Khutbah na wanasema kuwa huku ni kuwapaka mafuta na unafiki. Ametakasika Allaah! Haya ndio madhehebu ya Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah. Bali katika Sunnah ni kuwaombea Du´aa watawala. Kwa sababu wakinyooka na watu pia watanyooka. Wewe unachotakiwa ni kuwaombea wema na uongofu na kheri hata kama wana mabaya. Lakini vilevile wana mazuri. Maadamu bado ni Waislamu wana kheri.

Mwandishi: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Chanzo: Sharh ´Aqiydat-it-Twahaawiyyah, Uk. 172
Toleo la: 24-10-2014
Imefasiriwa na: Wanachuoni.com


  • Kitengo: Uncategorized , Khawaarij
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Friday 24th, October 2014