Wanachuoni Wakati Na Kati Na Wakali Kwa Mujibu Wa al-Halabiy

Mfano wake ni ´Aliy al-Halabiy na mafungamano yake na jumuiya ya Ihyaa´ at-Turaath. Kwa nini hawawataji? Wanasema kwamba yule mwenye kuwakosoa kwa makosa yao ni mkali. Vipi? Kwa sababu yeye sio mlaini kama wao na kwa sababu yeye hachukulii mambo usahali kama wao. Wanamvamia mtu ambaye ni mwenye kushikamana imara na Sunnah na Salafiyyah na ana kupenda na kuchukia kwa ajili ya Allaah (al-Walaa´ wal-Baraa´) kwa kuwa tu amewakosoa. Wakati mtu anapowakosoa kwa kuwa wanachukulia usahali mambo na ni walaini, wanawatuhumu kuwa ni wakali. Wakati huo huo wanasema kwamba wanachuoni wasiojua hali zao, kama tunavyozijua sisi, matokeo yake wakakaa kimya ndio wakati na kati. Lau wanachuoni hawa wangeliona na kusikia wanayoyaandika na kusema, basi wangelisema yale tunayosema. Wanangu! Watu hawa wanaharibu. Kuweni waangalifu na watu hawa. Wanakhitimu kama al-Ikhwaan al-Muslimuun.

Mfano wake ni ´Aliy al-Halabiy na mafungamano yake na jumuiya ya Ihyaa´ at-Turaath. Kwa nini hawawataji? Wanasema kwamba yule mwenye kuwakosoa kwa makosa yao ni mkali. Vipi? Kwa sababu yeye sio mlaini kama wao na kwa sababu yeye hachukulii mambo usahali kama wao. Wanamvamia mtu ambaye ni mwenye kushikamana imara na Sunnah na Salafiyyah na ana kupenda na kuchukia kwa ajili ya Allaah (al-Walaa´ wal-Baraa´) kwa kuwa tu amewakosoa. Wakati mtu anapowakosoa kwa kuwa wanachukulia usahali mambo na ni walaini, wanawatuhumu kuwa ni wakali.

Wakati huo huo wanasema kwamba wanachuoni wasiojua hali zao, kama tunavyozijua sisi, matokeo yake wakakaa kimya ndio wakati na kati. Lau wanachuoni hawa wangeliona na kusikia wanayoyaandika na kusema, basi wangelisema yale tunayosema.

Wanangu! Watu hawa wanaharibu. Kuweni waangalifu na watu hawa. Wanakhitimu kama al-Ikhwaan al-Muslimuun.