“Wanachuoni Wa Kihakika Saudi Arabia Wamefungwa Gerezani”

az-Zindaaniy anasema: "Wanachuoni wa kihakika Saudi Arabia wamefungwa gerezani." Pengine anamaanisha Safar na Salmaan. Tunamuomba Allaah Awarudishe katika Sunnah za Mtume wa Allaah (Swalla Allahu ´alayhi wa sallam) na Manhaj ya wanachuoni wameshimiwa na Awape uokovu na njia. Hakika Da´wah imerudi tena baada ya kurudi nyuma baada ya wao kufungwa. Nimepata khabari ya kwamba vijana sasa wanajishughulisha na elimu ya manufaa baada ya watu hawa wawili kufungwa.

az-Zindaaniy anasema:

“Wanachuoni wa kihakika Saudi Arabia wamefungwa gerezani.”

Pengine anamaanisha Safar na Salmaan. Tunamuomba Allaah Awarudishe katika Sunnah za Mtume wa Allaah (Swalla Allahu ´alayhi wa sallam) na Manhaj ya wanachuoni wameshimiwa na Awape uokovu na njia.

Hakika Da´wah imerudi tena baada ya kurudi nyuma baada ya wao kufungwa. Nimepata khabari ya kwamba vijana sasa wanajishughulisha na elimu ya manufaa baada ya watu hawa wawili kufungwa.


  • Author: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy. al-Burkaan, uk. 35-36
  • Kitengo: Uncategorized , Manhaj
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Saturday 11th, January 2014