Wakati Mwanamke Hawezi Kuoga Kwa Maji

Ikiwa mwanamke hawezi kuoga na maji ni lazima kwake kufanya Tayammum na kuswali kwa wakati. Kauli hii ndio ya wanachuoni wengi. Madhehebu ya ash-Shaafi´iy wanasema hata hivyo kwamba anatakiwa kuosha yale anayoweza na kufanya Tayammum yaliyobaki. Madhehebu ya Maalik na Abu Haniyfah wanasema kwamba hatakiwi kufanya Tayammum ikiwa kama ameosha sehemu kubwa. Hata hivyo ikiwa ameweza kuosha tu sehemu ndogo ndio anaweza kufanya Tayammum. Katika hali hii sio lazima kwake kuoga. Yule mwenye kukosa maji na udongo anatakiwa kuswali kwa wakati. Hii ndio kauli sahihi. Kutokana na kauli sahihi mtu halazimika vilevile kurudi kuswali tena. Mwandishi: Shaykh-ul-Islaam Ahmad bin Taymiyyah Chanzo: Mukhtasar-ul-Fataawaa al-Misriyyah (1/105) Ufupisho: Imaam Badr-ud-Diyn Muhammad bin ´Aliy al-Hanbaliy al-Ba´liy (d. 777)

Ikiwa mwanamke hawezi kuoga na maji ni lazima kwake kufanya Tayammum na kuswali kwa wakati. Kauli hii ndio ya wanachuoni wengi.

Madhehebu ya ash-Shaafi´iy wanasema hata hivyo kwamba anatakiwa kuosha yale anayoweza na kufanya Tayammum yaliyobaki. Madhehebu ya Maalik na Abu Haniyfah wanasema kwamba hatakiwi kufanya Tayammum ikiwa kama ameosha sehemu kubwa. Hata hivyo ikiwa ameweza kuosha tu sehemu ndogo ndio anaweza kufanya Tayammum. Katika hali hii sio lazima kwake kuoga.

Yule mwenye kukosa maji na udongo anatakiwa kuswali kwa wakati. Hii ndio kauli sahihi. Kutokana na kauli sahihi mtu halazimika vilevile kurudi kuswali tena.

Mwandishi: Shaykh-ul-Islaam Ahmad bin Taymiyyah
Chanzo: Mukhtasar-ul-Fataawaa al-Misriyyah (1/105)
Ufupisho: Imaam Badr-ud-Diyn Muhammad bin ´Aliy al-Hanbaliy al-Ba´liy (d. 777)


  • Kitengo: Uncategorized , ´Ibaadah
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Wednesday 15th, January 2014