Wajibu Kwa ´Awwaam Kuwauliza Wanachuoni

- Yule ambaye atakuwa ni miongoni mwa wanachuoni na ana uwezo wa kujua kauli yenye nguvu na isiyokuwa na nguvu, haitakikani kwake kuchukua kauli kama ilivo isipokuwa mpaka ailinganishe na Kitabu cha Allaah na Sunnah za Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). - Ama ikiwa ni katika ´Awwaam au wanaoanza kutafuta elimu, huyu awaulize wanachuoni. Anasema (Ta´ala): فَاسْأَلُوا أَهْلَ الذِّكْرِ إِن كُنتُمْ لَا تَعْلَمُونَ “Basi ulizeni watu wa Adh-Dhikr (wanazuoni) ikiwa hamjui.” (an-Nahl:43) Mwandishi: Imaam Abu Bakr ´Abdullaah bin Daawuud as-Sijistaaniy Chanzo: al-Haaiyyah Mshereheshaji: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan Chanzo: "Sharh al-Haaiyyah", uk. 195

– Yule ambaye atakuwa ni miongoni mwa wanachuoni na ana uwezo wa kujua kauli yenye nguvu na isiyokuwa na nguvu, haitakikani kwake kuchukua kauli kama ilivo isipokuwa mpaka ailinganishe na Kitabu cha Allaah na Sunnah za Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).

– Ama ikiwa ni katika ´Awwaam au wanaoanza kutafuta elimu, huyu awaulize wanachuoni. Anasema (Ta´ala):

فَاسْأَلُوا أَهْلَ الذِّكْرِ إِن كُنتُمْ لَا تَعْلَمُونَ
“Basi ulizeni watu wa Adh-Dhikr (wanazuoni) ikiwa hamjui.” (an-Nahl:43)

Mwandishi: Imaam Abu Bakr ´Abdullaah bin Daawuud as-Sijistaaniy
Chanzo: al-Haaiyyah
Mshereheshaji: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Chanzo: “Sharh al-Haaiyyah”, uk. 195


  • Kitengo: Uncategorized , Fiqh
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Saturday 1st, March 2014