Wafungaji Kutofautiana Katika Kubainika Kwa Alfajiri

Wanachuoni wamesema lau mtu atawaambia watu wawili “Nitazamieni kama alfajiri imeshaingia”. Mmoja wao akasema imeshaingia na mwingine akasema haijaingia, wamesema achukue kauli ya huyu wa pili. Kwa kuwa asli ni kutoingia alfajiri na vilevile ni lazima alfajiri ibainike. Mzungumzaji: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn Chanzo: Mkanda "Liqaa´aatu Ramadhwaaniyyah", sehemu ya 01 Toleo la: 21-07-2014 Imefasiriwa na: Wanachuoni.com

Wanachuoni wamesema lau mtu atawaambia watu wawili “Nitazamieni kama alfajiri imeshaingia”. Mmoja wao akasema imeshaingia na mwingine akasema haijaingia, wamesema achukue kauli ya huyu wa pili. Kwa kuwa asli ni kutoingia alfajiri na vilevile ni lazima alfajiri ibainike.

Mzungumzaji: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Chanzo: Mkanda “Liqaa´aatu Ramadhwaaniyyah”, sehemu ya 01
Toleo la: 21-07-2014
Imefasiriwa na: Wanachuoni.com


  • Kitengo: Uncategorized , Fiqh
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Monday 21st, July 2014