Waabudu Makaburi Wa Afrika

Muulizaji: Sisi katika mji wetu wa Afrika kuna baadhi ya waabudu makaburi... ´Allaamah al-Fawzaan: Sio baadhi ya waabudu makaburi, ni wengi wa waabudu makaburi. Muulizaji: ... ambao wanawafanya maiti ni wakaakati [katika kumuomba Allaah] na wanawaomba, na wao hawana ujuzi sahihi ya Uislamu. Je, tuwape udhuru kwa ujinga kwa vile wengi wao hawasomi Qur-aan wala Sunnah bali wanadanganyika na Mawalii na Mashaykh? ´Allaamah al-Fawzaan: Na kwa nini wameipa mgongo Qur-aan? Ilihali wanasikia Qur-aan kisha wanaipa mgongo na kubaki kwa aliyomo? Hoja imewasimamia. Lakini ni kwamba hawaitaki [hiyo Qur-aan]. Yeyote ambaye kafikiwa na Qur-aan naye ni mwarabu, hoja imamsimamia. وَأُوحِيَ إِلَيَّ هَذَا الْقُرْآنُ لأُنذِرَكُم بِهِ وَمَن بَلَغَ “Na nimefunuliwa Qur-aan hii ili kwayo nikuonyeni nyinyi na kilainayomfikia.” (06:19) Qur-aan imewasimamishia hoja waja.

Muulizaji:
Sisi katika mji wetu wa Afrika kuna baadhi ya waabudu makaburi…

´Allaamah al-Fawzaan:
Sio baadhi ya waabudu makaburi, ni wengi wa waabudu makaburi.

Muulizaji:
… ambao wanawafanya maiti ni wakaakati [katika kumuomba Allaah] na wanawaomba, na wao hawana ujuzi sahihi ya Uislamu. Je, tuwape udhuru kwa ujinga kwa vile wengi wao hawasomi Qur-aan wala Sunnah bali wanadanganyika na Mawalii na Mashaykh?

´Allaamah al-Fawzaan:
Na kwa nini wameipa mgongo Qur-aan? Ilihali wanasikia Qur-aan kisha wanaipa mgongo na kubaki kwa aliyomo? Hoja imewasimamia. Lakini ni kwamba hawaitaki [hiyo Qur-aan]. Yeyote ambaye kafikiwa na Qur-aan naye ni mwarabu, hoja imamsimamia.

وَأُوحِيَ إِلَيَّ هَذَا الْقُرْآنُ لأُنذِرَكُم بِهِ وَمَن بَلَغَ
“Na nimefunuliwa Qur-aan hii ili kwayo nikuonyeni nyinyi na kilainayomfikia.” (06:19)

Qur-aan imewasimamishia hoja waja.