Vitabu Vya Ruduud Vinavyobainisha Haki

Mimi ninawanasihi kushikamana na vitabu vya Hadiyth na vitabu ambavyo vimeibainisha ´Aqiydah. Kama vitabu vya Tawhiyd na vitabu vya Ruduud ambavyo vimewaraddi Jahmiyyah, Mu´tazilah, ´Ashaa´irah, Qadariyyah, Raafidhwah na watu wapotevu. Hivi ndivyo vitabu ambavyo vinaibainisha haki. Ninamuomba Allaah Atuwafikishe sote katika yale Anayoyapenda na Kuyaridhia.