Vipi Salaf Walikuwa Wakiamini Vidole Vya Allaah?

Allaah (Tabaaraka wa Ta´ala) Kasema: بَلِ اللَّـهَ فَاعْبُدْ وَكُن مِّنَ الشَّاكِرِينَ وَمَا قَدَرُوا اللَّـهَ حَقَّ قَدْرِهِ وَالْأَرْضُ جَمِيعًا قَبْضَتُهُ يَوْمَ الْقِيَامَةِ وَالسَّمَاوَاتُ مَطْوِيَّاتٌ بِيَمِينِهِ ”Bali Allaah (Pekee) mwabudu, na uwe miongoni mwa wenye kushukuru. Na hawakumthamini Allaah inavyostahiki kuthaminiwa; na ardhi yote Ataikamata (Mkononi Mwake) Siku ya Qiyaamah; na mbingu zitakunjwa Mkononi Mwake wa kulia.” Padiri mmoja wa kiyahudi alikuja kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) na kusema: “Muhammad, katika Tawrat tunapata ya kwamba Allaah siku ya Qiyaamah Atakuja kuziweka mbingu katika Kidole, ardhi katika Kidole, milima katika Kidole, nyota katika Kidole na baki ya viumbe katika Kidole. Halafu Atawatikisa na kusema: “Mimi ndiye Maalik!.”” Hivyo akacheka Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kiasi ambacho meno yake ya magego yakaonekana ishara ya kuonesha kuwa padiri huyu kasema kweli. Kisha akasoma: "Kwa hakika, wanajisalimisha kwa Allaah! Siku ya Qiyaamah dunia Ataibana na mbingu zitakunjwa Mkononi Mwake wa kulia." Mwandishi: Imaam Ismaa´iyl bin Kathiyr ad-Dimashqiy Chanzo: Tafsiyr al-Qur-aan al-´Adhwiym (4/79) Mu’assasah ar-Risaalah, 1422/2001

Allaah (Tabaaraka wa Ta´ala) Kasema:

بَلِ اللَّـهَ فَاعْبُدْ وَكُن مِّنَ الشَّاكِرِينَ وَمَا قَدَرُوا اللَّـهَ حَقَّ قَدْرِهِ وَالْأَرْضُ جَمِيعًا قَبْضَتُهُ يَوْمَ الْقِيَامَةِ وَالسَّمَاوَاتُ مَطْوِيَّاتٌ بِيَمِينِهِ
”Bali Allaah (Pekee) mwabudu, na uwe miongoni mwa wenye kushukuru. Na hawakumthamini Allaah inavyostahiki kuthaminiwa; na ardhi yote Ataikamata (Mkononi Mwake) Siku ya Qiyaamah; na mbingu zitakunjwa Mkononi Mwake wa kulia.”

Padiri mmoja wa kiyahudi alikuja kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) na kusema:

“Muhammad, katika Tawrat tunapata ya kwamba Allaah siku ya Qiyaamah Atakuja kuziweka mbingu katika Kidole, ardhi katika Kidole, milima katika Kidole, nyota katika Kidole na baki ya viumbe katika Kidole. Halafu Atawatikisa na kusema: “Mimi ndiye Maalik!.”” Hivyo akacheka Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kiasi ambacho meno yake ya magego yakaonekana ishara ya kuonesha kuwa padiri huyu kasema kweli. Kisha akasoma:

“Kwa hakika, wanajisalimisha kwa Allaah! Siku ya Qiyaamah dunia Ataibana na mbingu zitakunjwa Mkononi Mwake wa kulia.”

Mwandishi: Imaam Ismaa´iyl bin Kathiyr ad-Dimashqiy
Chanzo: Tafsiyr al-Qur-aan al-´Adhwiym (4/79)
Mu’assasah ar-Risaalah, 1422/2001


  • Kitengo: Uncategorized , Vidole vya Allaah
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Sunday 27th, October 2013