Vijiwanafunzi Vichanga Wanaopinzana Na Wanachuoni

Muulizaji: Nimekuta kuwa - namuomba Allaah Anisamehe na sijihisi vizuri kwa hili - baadhi ya wanafunzi ambao ni vijana, si woye kwa jumla – isipokuwa ni wazuri Alhamdulillaah. Lakini unakuta miaka mitano minne kaanza kusoma elimu ya Hadiyth - unamuona anajitahidi kuijenga nafsi yake na kutaka kupinzana na fulani. Kwa mfano anataka kupinzana na al-Albaaniy [katika Hadiyth], au katika Fiqh unakuta anataka kupinzana na ´Abdul-´Aziyz Ibn Baaz au Ibn ´Uthaymiyn. Upumbavu kama huu mimi nakhofia Shaykh... al-Albaaniy: “Wao ni wanaume na sisi ni wanaume!” Muulizaji: Walisema hivyo! Lakini kuna mtu aliwaradi Shaykh na kusema "[wanachuoni] wao ni wanaume na wewe ni Dajjaal." Kwa kuwa siku moja kulikuwa majadiliano wa Maswahabah, walijadili mpaka kufikia kwa Maswahabah, akasema "wao ni wanaume na sisi ni wanaume." Hivyo [yule mwenzake] akajibu: "Hapana, wao ni wanaume na wewe ni Dajjaal." al-Albaaniy: Allaahu Akbar! Muulizaji: Kwa hiyo hili ni jambo ambalo siku zilizopita nililijadili na baadhi ya wanafunzi - Jazzaahumu Allaahu Khayra – yuko makini katika suala hili, ndugu mmoja kanambia: "Lakini anapinzana na Albaaniy au anakhtilafiana na Albaaniy." Na fulani anapinzana na Shaykh Ibn Baaz na fulani anapinzana na Shaykh Ibn ´Uthaymiyn." al-Albaaniy: Kupenda umaarufu utavunja mgongo wa mtu. Muulizaji: Huwa napenda maneno haya kwako... al-Albaaniy: Na ni doa la vijana katika miaka hii isipokuwa yule Aliyemlinda Allaah, na ni wachache sana. Mwanafunzi: Laa hawla wa laa quwaata illaa billaah. al-Albaaniy: Allaahu Musta´aan, Allaahu Musta´aan.

Muulizaji: Nimekuta kuwa – namuomba Allaah Anisamehe na sijihisi vizuri kwa hili – baadhi ya wanafunzi ambao ni vijana, si woye kwa jumla – isipokuwa ni wazuri Alhamdulillaah. Lakini unakuta miaka mitano minne kaanza kusoma elimu ya Hadiyth – unamuona anajitahidi kuijenga nafsi yake na kutaka kupinzana na fulani. Kwa mfano anataka kupinzana na al-Albaaniy [katika Hadiyth], au katika Fiqh unakuta anataka kupinzana na ´Abdul-´Aziyz Ibn Baaz au Ibn ´Uthaymiyn. Upumbavu kama huu mimi nakhofia Shaykh…

al-Albaaniy: “Wao ni wanaume na sisi ni wanaume!”

Muulizaji: Walisema hivyo! Lakini kuna mtu aliwaradi Shaykh na kusema “[wanachuoni] wao ni wanaume na wewe ni Dajjaal.” Kwa kuwa siku moja kulikuwa majadiliano wa Maswahabah, walijadili mpaka kufikia kwa Maswahabah, akasema “wao ni wanaume na sisi ni wanaume.” Hivyo [yule mwenzake] akajibu: “Hapana, wao ni wanaume na wewe ni Dajjaal.”

al-Albaaniy: Allaahu Akbar!

Muulizaji: Kwa hiyo hili ni jambo ambalo siku zilizopita nililijadili na baadhi ya wanafunzi – Jazzaahumu Allaahu Khayra – yuko makini katika suala hili, ndugu mmoja kanambia: “Lakini anapinzana na Albaaniy au anakhtilafiana na Albaaniy.” Na fulani anapinzana na Shaykh Ibn Baaz na fulani anapinzana na Shaykh Ibn ´Uthaymiyn.”

al-Albaaniy: Kupenda umaarufu utavunja mgongo wa mtu.

Muulizaji: Huwa napenda maneno haya kwako…

al-Albaaniy: Na ni doa la vijana katika miaka hii isipokuwa yule Aliyemlinda Allaah, na ni wachache sana.

Mwanafunzi: Laa hawla wa laa quwaata illaa billaah.

al-Albaaniy: Allaahu Musta´aan, Allaahu Musta´aan.


  • Author: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • http://youtu.be/Ntbwup0gcME
  • Kitengo: Uncategorized , Msimamo juu ya wapinzani na mafundisho yao
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Monday 13th, January 2014