Uso Ni Sifa Ya Dhati Ya Allaah (´Azza wa Jalla)

Miongoni mwa maandiko ambayo yanatolea dalili juu ya Sifa za Dhati ni Kauli ya Allaah (´Azza wa Jalla): وَيَبْقَىٰ وَجْهُ رَبِّكَ ذُو الْجَلَالِ وَالْإِكْرَامِ ”Na utabakia Uso wa Mola wako Dhul-Jalaali wal-Ikraam (Mwenye Utukufu na Ukarimu).” (55:27) Uso ni Sifa ya Dhati ya Allaah (´Azza wa Jalla) inayolingana na Ukubwa na Utukufu Wake. Hii ndio maana sahihi. Vilevile ndio maana ya mwandishi – yaani Imaam Ibn Qudaamah: “Yapitisheni kama yalivyokuja.” Tunasema kuwa Aayah hii inatolea dalili juu kuthibitisha Sifa ya Allaah (´Azza wa Jalla) kuwa na Uso. Ni Sifa ya Dhati inalingana na Ukubwa na Utukufu wa Allaah. Maana yenye kulaumika ni taawili batili kwa mfano mtu kusema: وَيَبْقَىٰ وَجْهُ رَبِّكَ ”Na utabakia Uso wa Mola wak.” (55:27) na kusema kuwa ni Dhati Yake. Dhati ina Sifa Zake na Uso ni Sifa miongoni mwa Sifa za Allaah (Tabaaraka wa Ta´ala). Mwandishi: Imaam Muwaffaq-ud-Diyn Ibn Qudaamah al-Maqdisiy Chanzo: Sharh Lum´at-il-I´tiqaad Mshereheshaji: ´Allaamah Zayd bin Haadiy al-Madkhaliy Marejeleo: http://www.njza.net/MultimediaDetails_ar.aspx?ID=882&size=2h&ext=.rm

Miongoni mwa maandiko ambayo yanatolea dalili juu ya Sifa za Dhati ni Kauli ya Allaah (´Azza wa Jalla):

وَيَبْقَىٰ وَجْهُ رَبِّكَ ذُو الْجَلَالِ وَالْإِكْرَامِ
”Na utabakia Uso wa Mola wako Dhul-Jalaali wal-Ikraam (Mwenye Utukufu na Ukarimu).” (55:27)

Uso ni Sifa ya Dhati ya Allaah (´Azza wa Jalla) inayolingana na Ukubwa na Utukufu Wake. Hii ndio maana sahihi. Vilevile ndio maana ya mwandishi – yaani Imaam Ibn Qudaamah:

“Yapitisheni kama yalivyokuja.”

Tunasema kuwa Aayah hii inatolea dalili juu kuthibitisha Sifa ya Allaah (´Azza wa Jalla) kuwa na Uso. Ni Sifa ya Dhati inalingana na Ukubwa na Utukufu wa Allaah.

Maana yenye kulaumika ni taawili batili kwa mfano mtu kusema:

وَيَبْقَىٰ وَجْهُ رَبِّكَ
”Na utabakia Uso wa Mola wak.” (55:27)

na kusema kuwa ni Dhati Yake. Dhati ina Sifa Zake na Uso ni Sifa miongoni mwa Sifa za Allaah (Tabaaraka wa Ta´ala).

Mwandishi: Imaam Muwaffaq-ud-Diyn Ibn Qudaamah al-Maqdisiy
Chanzo: Sharh Lum´at-il-I´tiqaad
Mshereheshaji: ´Allaamah Zayd bin Haadiy al-Madkhaliy
Marejeleo: http://www.njza.net/MultimediaDetails_ar.aspx?ID=882&size=2h&ext=.rm


  • Kitengo: Uncategorized , Tawhiyd na ´Aqiydah
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Tuesday 1st, April 2014