Ulipuaji Na Uharibifu Ni Katika Jihaad?

Kuhusu kuzungumzia suala hili, ndio! Kuzungumzia suala hili ni muhimu. Ni wajibu kubainisha haki juu yake. Kwa kuwa kuna wanaodai kuwa na hili ni katika Jihaad katika njia ya Allaah. Wanaamini namna hii! Kuna wanaodai kuwa haya malipuaji katika miji ya Waislamu pia ni katika Jihaad katika njia ya Allaah. Kwamba kuwaua Waislamu ni katika Jihaad katika njia ya Allaah. Kwamba kuyaangamiza manyumba ya Waislamu ni katika Jihaad katika njia ya Allaah. Bali hata kulipua Misikiti wanachukulia kuwa ni katika Jihaad katika njia ya Allaah. Na kwamba mwemye kufa katika hili kafa shahidi. Wanampa hukumu ya shahaadah. Yaani kana kwamba wanamtangazia shahaadah kwa Allaah (´Azza wa Jalla) na wanampa tuzo la shahaadah kwa watu sampuli hii. Usitishike na suala hili litendwapo na kukemewa na kukabainishiwa makosa ya hawa watu na makosa ya vitendo hivi na kuwatia makosani watu hawa ambao wanasifu mambo haya, na wanadai kuwa ni katika Dini na ni katika Jihaad katika njia ya Allaah.