Uhakika Wa Mambo Yanayofanywa Ubungeni

´Allaamah Muhammad al-Jaamiy: Baadhi ya [Mashaykh] waheshimiwa pengine wakafutu kujuzisha kuingia kwenye ubunge kutokana na niliyowaeleza. Kama nilivyowaashiria, baadhi ya waulizaji wanaweza kumpambia mtu kitu mpaka hata mwanachuoni wakamfanya akafutu kwa kitu asichokijua ujakika wake. Wale [Mashaykh] ambao wamefutu kujuzisha kuingia kwenye ubungehivi sasa Kuwait, hawajui uhakika wa kinachoendelea kwenye ubunge huo. Hawajui. Huko ubungeni, kinakufuriwa na kufanyia ishtihzai Kitabu cha Allaah. Shari´ah ya Allaah inaitwa kuwa ni "Wahshiyyah" (ya kikatili) na kuwa ni mambo yakizamani. Wale [Mashaykh] waliofutu, lau wangelijua uhakika wa yanayofanywa huko [ubungeni] wangejirudi katika Fatwa zoa. Na sisi tunajua ukweli wa mambo yanayofanywa katika majlisi hayo.

´Allaamah Muhammad al-Jaamiy:

Baadhi ya [Mashaykh] waheshimiwa pengine wakafutu kujuzisha kuingia kwenye ubunge kutokana na niliyowaeleza. Kama nilivyowaashiria, baadhi ya waulizaji wanaweza kumpambia mtu kitu mpaka hata mwanachuoni wakamfanya akafutu kwa kitu asichokijua ujakika wake. Wale [Mashaykh] ambao wamefutu kujuzisha kuingia kwenye ubungehivi sasa Kuwait, hawajui uhakika wa kinachoendelea kwenye ubunge huo. Hawajui. Huko ubungeni, kinakufuriwa na kufanyia ishtihzai Kitabu cha Allaah. Shari´ah ya Allaah inaitwa kuwa ni “Wahshiyyah” (ya kikatili) na kuwa ni mambo yakizamani. Wale [Mashaykh] waliofutu, lau wangelijua uhakika wa yanayofanywa huko [ubungeni] wangejirudi katika Fatwa zoa. Na sisi tunajua ukweli wa mambo yanayofanywa katika majlisi hayo.