Ufahamu Wetu Wa Uislamu

23- Mtu akitwambia: "Nmewahukumu Mu´tazilah, Qadariyyah, Jahmiyyah, Haruuriyyah (Khawaarij) na Murji-ah. Mnaweza kutwambia ´Aqiydah na ufahamu wenu?" Jibu ni kama lifuatalo: 24- ´Aqiydah yetu na ufahamu wetu ni kushikamana bara bara na Kitabu cha Allaah (´Azza wa Jalla) na Sunnah za Mtume wetu (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) zilizopokelewa na bingwa ya Maswahabah, Taabi´uun na maimamu wa Hadiyth. Tunashikama bara bara nazo. Tunasema yale yaliyosemwa na Abu ´Abdillaah Ahmad bin Muhammad bin Hanbal - Allaah Autie nuru uso wake, Ampandishe daraja na Amjaze kheri - na tunaacha yale yanayokwenda kinyume naye. Ni Imamu mtukufu na kiongozi mkamilifu ambaye Allaah Alidhihirisha haki kupitia kwake baada ya upotevu kujitokeza. Kupitia kwake Alibainisha Njia na Akavunja Bid´ah na Ahl-ul-Bid´ah na mashaka ya wenye mashaka. Allaah Amrahamu na maimamu wengine wa Kiislamu.

23- Mtu akitwambia: “Nmewahukumu Mu´tazilah, Qadariyyah, Jahmiyyah, Haruuriyyah (Khawaarij) na Murji-ah. Mnaweza kutwambia ´Aqiydah na ufahamu wenu?” Jibu ni kama lifuatalo:

24- ´Aqiydah yetu na ufahamu wetu ni kushikamana bara bara na Kitabu cha Allaah (´Azza wa Jalla) na Sunnah za Mtume wetu (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) zilizopokelewa na bingwa ya Maswahabah, Taabi´uun na maimamu wa Hadiyth. Tunashikama bara bara nazo. Tunasema yale yaliyosemwa na Abu ´Abdillaah Ahmad bin Muhammad bin Hanbal – Allaah Autie nuru uso wake, Ampandishe daraja na Amjaze kheri – na tunaacha yale yanayokwenda kinyume naye. Ni Imamu mtukufu na kiongozi mkamilifu ambaye Allaah Alidhihirisha haki kupitia kwake baada ya upotevu kujitokeza. Kupitia kwake Alibainisha Njia na Akavunja Bid´ah na Ahl-ul-Bid´ah na mashaka ya wenye mashaka. Allaah Amrahamu na maimamu wengine wa Kiislamu.


  • Author: Imaam Abul-Hasan ´Aliy bin Ismaa´iyl al-Ash´ariy (d. 324). al-Ibaanah, uk. 43
  • Kitengo: Uncategorized , Manhaj
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Tuesday 14th, January 2014