Uchaguzi Na Bunge Ni Twaaghuut

Tumezungumzia kuhusu uchaguzi na kusema kuwa ni Twaaghuut na kwamba bunge ni Twaaghuut. Tumezungumzia mambo yanayoenda kinyume na Dini ya Allaah. Tumeyaraddi kwenye vitabu "al-Muswara´ah", "Qam´-ul-Mu´aanid", "Ghaarat-ul-Ashritwah" na vingine. Watu wanajua msimamo wetu kwa chaguzi hizi za ki-Twaaghuut na bunge hizi za ki-Twaaghuut. Lakini haina maana wale wenye kukaa bungeni ni makafiri. Hata hivyo wana sehemu ya Twaaghuut kivyake kutegemea na mapenzi ya mtu kwa bunge. Mwandishji: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy Chanzo: al-Burkaan, uk. 22 Toleo la: 14-12-2014 Imefasiriwa na: Wanachuoni.com

Tumezungumzia kuhusu uchaguzi na kusema kuwa ni Twaaghuut na kwamba bunge ni Twaaghuut. Tumezungumzia mambo yanayoenda kinyume na Dini ya Allaah. Tumeyaraddi kwenye vitabu “al-Muswara´ah”, “Qam´-ul-Mu´aanid”, “Ghaarat-ul-Ashritwah” na vingine.

Watu wanajua msimamo wetu kwa chaguzi hizi za ki-Twaaghuut na bunge hizi za ki-Twaaghuut. Lakini haina maana wale wenye kukaa bungeni ni makafiri. Hata hivyo wana sehemu ya Twaaghuut kivyake kutegemea na mapenzi ya mtu kwa bunge.

Mwandishji: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
Chanzo: al-Burkaan, uk. 22
Toleo la: 14-12-2014
Imefasiriwa na: Wanachuoni.com


  • Kitengo: Uncategorized , Imani, Kufuru na Shirki
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Sunday 14th, December 2014