Tovuti “Kull Salafiyyuun” Inatosheleza Kumjua Ni Nani al-Halabiy

Ama kuhusiana na Ibraahiym Shaqrah na ´Aliy bin Hasan [al-Halabiy], sina maelezo kuhusu Ibraahiym Shaqrah, hata hivyo kule kuwa kwake pamoja na ´Aliy bin Hasan, ´Aliy bin Hasan kishajidhihirisha yeye ni nani. Inatosha kuona yeye ndiye yuko nyuma ya tovuti iitwayo "Kull Salafiyyuun" (ya Salafiyyuun wote). Ingelifaa kuitwa ”Kull Mutasaaqitwiyn" (Ya wote walioanguka) au ”Kull Halkaa" (Wote walioangamia). Ni Salafiyuun gani aliyonao? Abul-Hasan, Muhammad Hassan, Adnaan ´Ar´uur, al-Maghraawiy na mfano wa watu hawa. Hii ndio tovuti inayowajumuisha wote.

Ama kuhusiana na Ibraahiym Shaqrah na ´Aliy bin Hasan [al-Halabiy], sina maelezo kuhusu Ibraahiym Shaqrah, hata hivyo kule kuwa kwake pamoja na ´Aliy bin Hasan, ´Aliy bin Hasan kishajidhihirisha yeye ni nani. Inatosha kuona yeye ndiye yuko nyuma ya tovuti iitwayo “Kull Salafiyyuun” (ya Salafiyyuun wote). Ingelifaa kuitwa ”Kull Mutasaaqitwiyn” (Ya wote walioanguka) au ”Kull Halkaa” (Wote walioangamia). Ni Salafiyuun gani aliyonao? Abul-Hasan, Muhammad Hassan, Adnaan ´Ar´uur, al-Maghraawiy na mfano wa watu hawa. Hii ndio tovuti inayowajumuisha wote.