Tofauti Kati Ya Istihaadhah Na Hedhi

Wanachuoni wanasema ya kwamba kuna tofauti tatu kati ya damu ya istihaadhah na hedhi: 1- Damu ya hedhi ni nyeusi tofauti na istihaadhah ambayo ni nyekundu. 2- Damu ya hedhi ni nene tofauti na istihaadhah ambayo ni nyembamba. 3- Damu ya hedhi inanuka tofauti na istihaadhah. 4- Madaktari wa leo wanasema kwamba damu ya hedhi haiwi imara. Inakuwa yaani bila kizuizi tofauti na istihaadhah ambayo inakuwa imara.

Wanachuoni wanasema ya kwamba kuna tofauti tatu kati ya damu ya istihaadhah na hedhi:

1- Damu ya hedhi ni nyeusi tofauti na istihaadhah ambayo ni nyekundu.

2- Damu ya hedhi ni nene tofauti na istihaadhah ambayo ni nyembamba.

3- Damu ya hedhi inanuka tofauti na istihaadhah.

4- Madaktari wa leo wanasema kwamba damu ya hedhi haiwi imara. Inakuwa yaani bila kizuizi tofauti na istihaadhah ambayo inakuwa imara.


  • Author: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn. Fath Dhiyl-Jalaal wal-Ikraam (1/406)
  • Kitengo: Uncategorized , Fiqh
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Wednesday 15th, January 2014