Tofauti Kati Ya al-Hajuuriy Na Haddaadiyyah

Yahyaa al-Hajuuriy anasema lau Ahmad bin Hanbal atafufuka kutoka kwenye kaburi lake hatokubali maneno yake juu ya ´Abdur-Rahmaan [al-´Adniy]. Anasema pia kwamba lau wanachuoni wa dunia nzima watakubaliana juu ya kitu kingine kuliko kile anachosema juu ya [´Abdur-Rahmaan] al-´Adniy hatokubali hilo. Yuko tayari kuangusha maafikiano na kutojali. Wakati nilipomwambia hilo Shaykh Rabiy´ akasema: “Ni khatari zaidi kuliko Haddaadiyyah. Haddaadiyyah wanajificha nyuma ya wanachuoni na wanajionesha kuwa wanawapenda wakati huyu hajali kabisa wanachuoni.”

Yahyaa al-Hajuuriy anasema lau Ahmad bin Hanbal atafufuka kutoka kwenye kaburi lake hatokubali maneno yake juu ya ´Abdur-Rahmaan [al-´Adniy]. Anasema pia kwamba lau wanachuoni wa dunia nzima watakubaliana juu ya kitu kingine kuliko kile anachosema juu ya [´Abdur-Rahmaan] al-´Adniy hatokubali hilo. Yuko tayari kuangusha maafikiano na kutojali.

Wakati nilipomwambia hilo Shaykh Rabiy´ akasema:

“Ni khatari zaidi kuliko Haddaadiyyah. Haddaadiyyah wanajificha nyuma ya wanachuoni na wanajionesha kuwa wanawapenda wakati huyu hajali kabisa wanachuoni.”