Talaka Wakati Wa Hedhi

Talaka wakati wa hedhi huchukuliwa ni Talaka ya Bid´ah. Inapita au haipiti? Wametofautiana wanachuoni kwa hili. Kauli yenye nguvu ni kwamba inapita kama alivyosema hili al-Haafidhw Ibn Hajar kwenye Fath-ul-Baariy na Swahiyh al-Bukhaariy kutoka kwa ´Abdullaah Ibn ´Umar.