Takfiyriyyuun Wachukuliwe Namna Hii

Takfiyriyyuun ni watu wapotevu. Ninawanasihi ndugu wa Baydhwaa´, Ibb na sehemu nyinginezo kujitenga nao mbali na kuwachukulia kama wapotevu, walio mbali na Dini na khatari kwa Uislamu na kwa Waislamu. Kila anayeusema vibaya Uislamu anawatumia wao. Kadhalika tunawanasihi Takfiyriyyuun kutubu kwa Allaah (Subhaanahu wa Ta´ala) na kuwauliza wanachuoni. Ikiwa wataendelea na hali hii potevu watakuja kukutana na Mola Wao na baada ya hapo watakuja kujuta. Mwandishi: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy Chanzo: Fadhwaaih wa Naswaaih, uk. 186 Toleo la: 06-08-2014 Imefasiriwa na: Wanachuoni.com

Takfiyriyyuun ni watu wapotevu. Ninawanasihi ndugu wa Baydhwaa´, Ibb na sehemu nyinginezo kujitenga nao mbali na kuwachukulia kama wapotevu, walio mbali na Dini na khatari kwa Uislamu na kwa Waislamu. Kila anayeusema vibaya Uislamu anawatumia wao.

Kadhalika tunawanasihi Takfiyriyyuun kutubu kwa Allaah (Subhaanahu wa Ta´ala) na kuwauliza wanachuoni. Ikiwa wataendelea na hali hii potevu watakuja kukutana na Mola Wao na baada ya hapo watakuja kujuta.

Mwandishi: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
Chanzo: Fadhwaaih wa Naswaaih, uk. 186
Toleo la: 06-08-2014
Imefasiriwa na: Wanachuoni.com


  • Kitengo: Uncategorized , Khawaarij
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Wednesday 6th, August 2014