Tafsiri Ya Neno Naajiyah, Ahl-us-Sunnah Na Jamaa´ah

Wameitwa Naajiyah, walooloka, kwa kuwa wameokoka na Moto na hawakuanguka pamoja na mapote yanayokwenda kinyume. Wameitwa vilevile Ahl-us-Sunnah, kwa kuwa wametendea kazi Sunnah za Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kutokana na kauli yake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam): “Shikamaneni na Sunnah zangu.” Wameitwa pia kuwa ni Jamaa´ah, kwa kuwa wamekusanyika na hawakutofautiana. Miongoni mwa sifa za watu wa haki ni kukusanyika, na miongoni mwa sifa za watu wa batili ni kufarikiana na kutofautiana. Mwandishi: Imaam Abu Bakr ´Abdullaah bin Daawuud as-Sijistaaniy Chanzo: al-Haaiyyah Mshereheshaji: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan Chanzo: "Sharh al-Haaiyyah", uk. 204

Wameitwa Naajiyah, walooloka, kwa kuwa wameokoka na Moto na hawakuanguka pamoja na mapote yanayokwenda kinyume.

Wameitwa vilevile Ahl-us-Sunnah, kwa kuwa wametendea kazi Sunnah za Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kutokana na kauli yake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam):

“Shikamaneni na Sunnah zangu.”

Wameitwa pia kuwa ni Jamaa´ah, kwa kuwa wamekusanyika na hawakutofautiana. Miongoni mwa sifa za watu wa haki ni kukusanyika, na miongoni mwa sifa za watu wa batili ni kufarikiana na kutofautiana.

Mwandishi: Imaam Abu Bakr ´Abdullaah bin Daawuud as-Sijistaaniy
Chanzo: al-Haaiyyah
Mshereheshaji: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Chanzo: “Sharh al-Haaiyyah”, uk. 204


  • Kitengo: Uncategorized , Manhaj
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Sunday 2nd, March 2014