Tafsiri Ya Neno Khalaf

Makusudio ya Khalaf hapa ni wafuasi wa Salaf waliokuja baada yao. Kwa kuwa “Khalaf” ni neno ambalo ndani yake kunaingia Khalaf ambao wameenda kinyume na mfumo wa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) na wakazusha mambo ya uzushi katika Dini ya Allaah (Ta´ala). Wanaitwa Khalaf. Kunaposemwa neno “Khalaf” kunakusudiwa vilevile wafuasi wa Salaf ambao wamerithi elimu yao na wakaenda kinyume nao (Ahl-ul-Bid´ah) katika kuifahamu elimu sahihi, kuisambaza, kuikubali na kuifikishia nayo watu. Haya ndio makusudio ya mwandishi hapa – yaani Imaam Ibn Qudaamah (Rahimahu Allaah) – aliposema: “Njia hii (kuamini Majina na Sifa za Allaah) imepita Salaf na maimamu wa Khalaf (Radhiya Allaahu ´anhum).”

Makusudio ya Khalaf hapa ni wafuasi wa Salaf waliokuja baada yao. Kwa kuwa “Khalaf” ni neno ambalo ndani yake kunaingia Khalaf ambao wameenda kinyume na mfumo wa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) na wakazusha mambo ya uzushi katika Dini ya Allaah (Ta´ala). Wanaitwa Khalaf.

Kunaposemwa neno “Khalaf” kunakusudiwa vilevile wafuasi wa Salaf ambao wamerithi elimu yao na wakaenda kinyume nao (Ahl-ul-Bid´ah) katika kuifahamu elimu sahihi, kuisambaza, kuikubali na kuifikishia nayo watu. Haya ndio makusudio ya mwandishi hapa – yaani Imaam Ibn Qudaamah (Rahimahu Allaah) – aliposema:

“Njia hii (kuamini Majina na Sifa za Allaah) imepita Salaf na maimamu wa Khalaf (Radhiya Allaahu ´anhum).”