Tafsiri Ya Jamaa´at-ut-Tabliygh Na al-Ikhwaan al-Muslimuun Ya Shahaadah

Wale wenye kufasiri Shahaadah kwa mfumo wa kwamba hakuna muumbaji na mwenye kuruzuku anayenufaisha na kudhuru isipokuwa Allaah wamefanya kosa kubwa. Nayo ni tafsiri ya Jamaa´at-ut-Tabliygh katika hali ya uandishi. Vile vile tafsiri ya al-Ikhwaan al-Muslimuun ya Shahaadah kwamba hakuna mwenye kuhukumu isipokuwa Allaah ni kosa kubwa. Hawakuifasiri Shahaadah kwa tafsiri ya Salaf, nayo ya kwamba Shahaadah hakuna mola mwenye haki ya kuabudiwa isipokuwa Allaah ina maana kuwa hakuna yeyote anayestahiki kuabudiwa kwa haki isipokuwa Allaah. Mzungumzaji: ´Allaamah Zayd bin Haadiy al-Madkhaliy Chanzo: at-Ta´liyqaat al-Jiyaad ´alaa Kitaab Tatwhiyr-il-I´tiqaad, uk. 76 Toleo la: 04-06-2014 Imefasiriwa na: Wanachuoni.com

Wale wenye kufasiri Shahaadah kwa mfumo wa kwamba hakuna muumbaji na mwenye kuruzuku anayenufaisha na kudhuru isipokuwa Allaah wamefanya kosa kubwa. Nayo ni tafsiri ya Jamaa´at-ut-Tabliygh katika hali ya uandishi.

Vile vile tafsiri ya al-Ikhwaan al-Muslimuun ya Shahaadah kwamba hakuna mwenye kuhukumu isipokuwa Allaah ni kosa kubwa. Hawakuifasiri Shahaadah kwa tafsiri ya Salaf, nayo ya kwamba Shahaadah hakuna mola mwenye haki ya kuabudiwa isipokuwa Allaah ina maana kuwa hakuna yeyote anayestahiki kuabudiwa kwa haki isipokuwa Allaah.

Mzungumzaji: ´Allaamah Zayd bin Haadiy al-Madkhaliy
Chanzo: at-Ta´liyqaat al-Jiyaad ´alaa Kitaab Tatwhiyr-il-I´tiqaad, uk. 76
Toleo la: 04-06-2014
Imefasiriwa na: Wanachuoni.com


  • Kitengo: Uncategorized , Ikhwaan Muslimuun
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Tuesday 3rd, June 2014