Tabia Ya Mwanafunzi Kula

Moja katika sababu kubwa inayomsaidia mwanafunzi kufanya kazi, kufahamu na daima kuwa na hamu ya kusoma ni kwamba ale kidogo katika chalula kizuri (halali). ash-Shaafi´iy amesema: "Sijala kwa kushiba tangu nilipokuwa na miaka 16." Hii ni kwa sababu yule anayekula sana atahitajia kunywa sana. Kunywa sana kunapelekea katika kusinzia, kutokuwa na akili, uchovu, ujinga, kutoona vizuri na uvivu. Aidha imechukizwa [Makruuh] Kishari´ah kula sana na linauweka mwili katika khatari. Hakuna Awliyaa´ au wanachuoni maimamu yeyote ambaye alikuwa anajulikana kula sana wala yeyote aliyemsifu kwa hilo. Ni wanyama wasiokuwa na akili tu ndio wanasifiana juu ya kula sana kwa vile wako kwa ajili ya kufanya kazi.

Moja katika sababu kubwa inayomsaidia mwanafunzi kufanya kazi, kufahamu na daima kuwa na hamu ya kusoma ni kwamba ale kidogo katika chalula kizuri (halali). ash-Shaafi´iy amesema:

“Sijala kwa kushiba tangu nilipokuwa na miaka 16.”

Hii ni kwa sababu yule anayekula sana atahitajia kunywa sana. Kunywa sana kunapelekea katika kusinzia, kutokuwa na akili, uchovu, ujinga, kutoona vizuri na uvivu. Aidha imechukizwa [Makruuh] Kishari´ah kula sana na linauweka mwili katika khatari.

Hakuna Awliyaa´ au wanachuoni maimamu yeyote ambaye alikuwa anajulikana kula sana wala yeyote aliyemsifu kwa hilo. Ni wanyama wasiokuwa na akili tu ndio wanasifiana juu ya kula sana kwa vile wako kwa ajili ya kufanya kazi.


  • Author: Imaam Badr-ud-Diyn Muhammad bin Ibraahiym bin Jamaa´ah al-Hamawiy (d. 733). Tadhkirat-us-Saami´ wal-Mutakallim fiy Adab-il-´Aalim wal-Muta´allim, uk. 77
  • Kitengo: Uncategorized , Chakula
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Monday 20th, January 2014