Sisi Sio Wafanaa Kama Nyinyi

Wanasema kuwa sisi ni Wahhaabiyyuun. Sisi ni Waislamu. Sisi sio wafanaa. Wewe ndio mjinga. Soma hivyo utaweza kujifunza haki. Haki haijulikani kupitia wanaume. Haki inajulikana kwa kupitia dalili. Soma dalili na zingatia dalili. Kila kitu kinatembea kwa dalili. Wafuasi wa Muhammad (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) sio wafanaa. Mtu ambaye anafuata watu wa upotevu na upotevu ndio fanaa ambaye anafuata kichwa mchunga. Anawafuata kwa kuwa ni waalimu zake, mababu zake na marafiki zake. Anawafuata kichwa mchunga na kuchukua kutoka kwao [kila kitu] kwa ajili ya kuwaadhimisha. Huyu ndiye fanaa.

Wanasema kuwa sisi ni Wahhaabiyyuun. Sisi ni Waislamu. Sisi sio wafanaa. Wewe ndio mjinga. Soma hivyo utaweza kujifunza haki. Haki haijulikani kupitia wanaume. Haki inajulikana kwa kupitia dalili. Soma dalili na zingatia dalili. Kila kitu kinatembea kwa dalili. Wafuasi wa Muhammad (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) sio wafanaa.

Mtu ambaye anafuata watu wa upotevu na upotevu ndio fanaa ambaye anafuata kichwa mchunga. Anawafuata kwa kuwa ni waalimu zake, mababu zake na marafiki zake. Anawafuata kichwa mchunga na kuchukua kutoka kwao [kila kitu] kwa ajili ya kuwaadhimisha. Huyu ndiye fanaa.


  • Author: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz. Sharh Kashf-ish-Shubuhaat, uk. 44
  • Kitengo: Uncategorized , Manhaj
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Tuesday 14th, January 2014