Shiy´ah Wa Leo Ni Raafidhwah

Neno “Shiy´ah” leo linatoa ishara tu kwa Ithnaa ´Ashariyyah. Kadhalika kwa wengi katika Shiy´ah wa leo wa Iraan, Iraaq, Lebanon, Syria, nchi za Ghuba na sehemu nyinginezo. Vyanzo vyao katika Hadiyth na mapokezi kwa kiasi kikubwa ni maoni na ´Aqiydah ya pote la Shiy´ah ambayo imezuka zaidi ya miaka. Hili limesemwa na Shaykh wa Shiy´ah Muhammad Aal Kaashif-il-Ghitwaa´ (alokufa 1376) katika kitabu chake “Asl-ush-Shiy´ah wa Usuulihaa”: “Neno Shiy´ah leo ni maalum kwa Imaamiyyah.”[1] Hali kadhalika Husayn an-Nuuriy at-Twabarsiy (alokufa 1320) amesema hapo kabla katika kitabu chake “Khaatimatu Mustadrak-il-Wasaail.”[2] Imaamiyyah/Ithnaa ´Ashariyyah wao wenyewe wanajiita “Shiy´ah” na wanadai kuwa ni wafuasi, Shiy´ah, wa ´Aliy na familia ya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Uhakika wa mambo ni Raafidhwah/Imaamiyyah. ------------- (1) Asl-ush-Shiy´ah wa Usuulihaa, uk. 63. (2) Khaatimatu Mustadrak-il-Wasaail (1/119). Mwandishi: Shaykh Muhammad Sa´iyd Raslaan Chanzo: Shiy´at-ush-Shaytwaan, uk. 6-77 Toleo la: 05-07-2014 Imefasiriwa na: Wanachuoni.com

Neno “Shiy´ah” leo linatoa ishara tu kwa Ithnaa ´Ashariyyah. Kadhalika kwa wengi katika Shiy´ah wa leo wa Iraan, Iraaq, Lebanon, Syria, nchi za Ghuba na sehemu nyinginezo. Vyanzo vyao katika Hadiyth na mapokezi kwa kiasi kikubwa ni maoni na ´Aqiydah ya pote la Shiy´ah ambayo imezuka zaidi ya miaka. Hili limesemwa na Shaykh wa Shiy´ah Muhammad Aal Kaashif-il-Ghitwaa´ (alokufa 1376) katika kitabu chake “Asl-ush-Shiy´ah wa Usuulihaa”:

“Neno Shiy´ah leo ni maalum kwa Imaamiyyah.”[1]

Hali kadhalika Husayn an-Nuuriy at-Twabarsiy (alokufa 1320) amesema hapo kabla katika kitabu chake “Khaatimatu Mustadrak-il-Wasaail.”[2]

Imaamiyyah/Ithnaa ´Ashariyyah wao wenyewe wanajiita “Shiy´ah” na wanadai kuwa ni wafuasi, Shiy´ah, wa ´Aliy na familia ya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Uhakika wa mambo ni Raafidhwah/Imaamiyyah.

————-
(1) Asl-ush-Shiy´ah wa Usuulihaa, uk. 63.
(2) Khaatimatu Mustadrak-il-Wasaail (1/119).

Mwandishi: Shaykh Muhammad Sa´iyd Raslaan
Chanzo: Shiy´at-ush-Shaytwaan, uk. 6-77
Toleo la: 05-07-2014
Imefasiriwa na: Wanachuoni.com


  • Kitengo: Uncategorized , Manhaj
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Saturday 5th, July 2014