Shaykh ´Ubayd al-Jaabiriy Kuhusu Muhammad Hassan

Muulizaji: Kuna mtu anasikiliza baadhi ya wakhalifu, kama Muhammad Hassan. Shaykh ´Ubayd al-Jaabiriy: Muhammad Hassan huyu ni Qutbiy na ni Ikhwaaniy. Muulizaji: Na Muhammad Husayn Ya´aquub. Shaykh ´Ubayd al-Jaabiriy: Huyu sijamjua mpaka hivi leo. Muulizaji: Nikamwambia kuwa wanakhalifu Sunnah. Akanambia nataka nimsikilize maneno ya Shakh ´Ubayd. Wasemaje? Shaykh ´Ubayd al-Jaabiriy: Umesikia maneno yangu. Muhammad Hassan wa Misri ni Qutbiy mkubwa Ikhwaaniy. Ama Muhammad Husayn Ya´aquub sijamjua mpaka hivi leo.

Muulizaji:
Kuna mtu anasikiliza baadhi ya wakhalifu, kama Muhammad Hassan.

Shaykh ´Ubayd al-Jaabiriy:
Muhammad Hassan huyu ni Qutbiy na ni Ikhwaaniy.

Muulizaji:
Na Muhammad Husayn Ya´aquub.

Shaykh ´Ubayd al-Jaabiriy:
Huyu sijamjua mpaka hivi leo.

Muulizaji:
Nikamwambia kuwa wanakhalifu Sunnah. Akanambia nataka nimsikilize maneno ya Shakh ´Ubayd. Wasemaje?

Shaykh ´Ubayd al-Jaabiriy:
Umesikia maneno yangu. Muhammad Hassan wa Misri ni Qutbiy mkubwa Ikhwaaniy. Ama Muhammad Husayn Ya´aquub sijamjua mpaka hivi leo.