Shaykh Rabiy´ al-Madkhaliy Kuhusu Kuwajeruhi Ahl-ul-Bid´ah

Yule ambaye anaona haifai kuwajeruhi Ahl-ul-Bid´ah, kamfanyia khiyana Allaah, Mtume Wake na Uislamu. Na kawafungulia mlango watu wapotofu na Ahl-ul-Bid´ah wad-Dhwalaalah kuwapeleka watu Motoni. Na Allaah Atukinge. Kwa hakika mlango wa kuwajeruhi watu wa Bid´ah na upotofu uko wazi bali ni wajibu. Kasema haya Shaykh-ul-Islaam Ibn Taymiyyah.