Shaykh Rabiy´ al-Madkhaliy Hakubadilika Na Anafuata Haki

Muulizaji: Kwa nini Shaykh Rabiy´ alikuwa haongelewi sana wakati wa Shaykh al-Albaaniy, Shaykh Ibn ´Uthaymiyn na wakati wa wanachuoni wengine wakubwa tofauti na hivi leo? al-Luhaydaan: Jambo la kwanza, ni lini wamekufa watu hawa? Shaykh Naaswir na Shaykh Muhammad, wamekufa lini? Muulizaji: Wamekufa hivi karibuni. al-Luhaydaan: Miaka kadhaa ya nyuma. Watu wamebadilika. Fitina imekuwa nyingi. Wengi wanadhani kwamba wao ni wanachuoni. Walinganiaji wengi wanawatuhumu wanachuoni kukosea. Ingelikuwa mtu hana upinzani dhidi ya mtu... Ama Shaykh Rabiy´ hakubadilika baada ya kufa kwa hawa Mashaykh wawili wala baada ya hapo na himidi zote ni Zake Allaah. Anafuata haki. Muulizaji: Wale wanaomuongelea sana sio katika Ahl-us-Sunnah? al-Luhaydaan: Wanachuoni kuongeleana kwa ubaya wao kwa wao haitoshelezi kuwa ni dalili katika suala hili. Wanaweza kusema kosa pasina kukusudia hivyo au kitu kingine. Mwenye kuongelea anatakiwa kunasihiwa na kumcha Allaah. Hatakiwi kusema juu ya yeyote isipokuwa awe na yakini kwamba yuko na kosa ambalo hajatubia juu yalo.

Muulizaji: Kwa nini Shaykh Rabiy´ alikuwa haongelewi sana wakati wa Shaykh al-Albaaniy, Shaykh Ibn ´Uthaymiyn na wakati wa wanachuoni wengine wakubwa tofauti na hivi leo?

al-Luhaydaan: Jambo la kwanza, ni lini wamekufa watu hawa? Shaykh Naaswir na Shaykh Muhammad, wamekufa lini?

Muulizaji: Wamekufa hivi karibuni.

al-Luhaydaan: Miaka kadhaa ya nyuma. Watu wamebadilika. Fitina imekuwa nyingi. Wengi wanadhani kwamba wao ni wanachuoni. Walinganiaji wengi wanawatuhumu wanachuoni kukosea. Ingelikuwa mtu hana upinzani dhidi ya mtu… Ama Shaykh Rabiy´ hakubadilika baada ya kufa kwa hawa Mashaykh wawili wala baada ya hapo na himidi zote ni Zake Allaah. Anafuata haki.

Muulizaji: Wale wanaomuongelea sana sio katika Ahl-us-Sunnah?

al-Luhaydaan: Wanachuoni kuongeleana kwa ubaya wao kwa wao haitoshelezi kuwa ni dalili katika suala hili. Wanaweza kusema kosa pasina kukusudia hivyo au kitu kingine. Mwenye kuongelea anatakiwa kunasihiwa na kumcha Allaah. Hatakiwi kusema juu ya yeyote isipokuwa awe na yakini kwamba yuko na kosa ambalo hajatubia juu yalo.