Shaykh Muqbil al-Waadi´iy Kuhusu Safar al-Hawaaliy Na Salmaan al-´Awdah

Shaykh Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy (Hafidhwahu Allaah) aliandika katika mwaka wa 1414 mwezi wa Ramadhaan kwenye darsa yake Swahiyh Muslim Yemen kuhusu Fatwa iliyotolewa na baraza kisaudi la al-Lajnah ad-Daaimah dhidi ya Safar al-Hawaaliy na Salmaan al-´Awdah, “Nilimpa nasaha Salmaan al-´Awdah mara mbili au mara tatu na naona kuwa maamuzi yaliyochukuliwa na Hay-ah Kibaar-ul-´Ulamaa ni sahihi na ya sawa, kwa sababu ya kuhifadhi jamii, kuendelea kunyoosha umoja wao na kuraddi harakati na rabsha, kwa sababu mambo kama hayo hayatakiwi kuwepo katika nchi yoyote ambapo kuna amani na utakatifu kama Haramayn na nchi ya Najd.”

Shaykh Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy (Hafidhwahu Allaah) aliandika katika mwaka wa 1414 mwezi wa Ramadhaan kwenye darsa yake Swahiyh Muslim Yemen kuhusu Fatwa iliyotolewa na baraza kisaudi la al-Lajnah ad-Daaimah dhidi ya Safar al-Hawaaliy na Salmaan al-´Awdah,

“Nilimpa nasaha Salmaan al-´Awdah mara mbili au mara tatu na naona kuwa maamuzi yaliyochukuliwa na Hay-ah Kibaar-ul-´Ulamaa ni sahihi na ya sawa, kwa sababu ya kuhifadhi jamii, kuendelea kunyoosha umoja wao na kuraddi harakati na rabsha, kwa sababu mambo kama hayo hayatakiwi kuwepo katika nchi yoyote ambapo kuna amani na utakatifu kama Haramayn na nchi ya Najd.”


  • Author: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
  • Kitengo: Uncategorized , al-´Awdah, Salmaan bin Fahd
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Sunday 10th, August 2014