Shaykh Mahir al-Qahtwaniy Kuhusu ´Aliy al-Habaliy

Tukijiwa na mmoja wao katika hawa watu ambao nao wanadai wako katika njia ya Salaf - hii ni hatari. Kama alivyokuwa akifanya Abul-Hassan al-Ma´ribiy, akaanza kutukana Maswahabah kwa kauli yake kuwa wao ni Ghuthaaiyyah, na kukajitokeza wakumtetea kama ´Aliy Hasan ´Abdul-Hamiyd (al-Halabiy) za kinyume ya hao. Hawa watu suala lao li lingine mpaka watubie kwa Allaah (Subhaanahu wa Ta´ala). Suala lao ni lingine mpaka watubie kwa Allaah na wajue kuheshimu Salaf – Rahmah za Allaah ziwe juu yao wote. Salaf hawakuwa namna hii. Ama kunakuja mtu kama ´Aliy Hassan ´Abdul-Hamiyd na (kutetea) Umoja wa dini zote na akatetea (hilo) na akatetea giza - katika kile kitabu potofu - na tunaomba kinga kwa Allaah. Isitoshe wala hajirejei, hili linakhalifu msingi wa Salaf kunako Tawhiyd na kusapoti uzanadiki (unafiki) na washirikina; kama alivyofanya Nabii Ibraahim (´alayhis-Salaam) na namna hii. Ikiwa yeyote atakhalifu msingi wa Salaf hata kama atadai yuko katika Sunnah sisi tutamtupa wakati huo huo, wala hatujali elimu yake. Hili lapaswa kujulikana!

Tukijiwa na mmoja wao katika hawa watu ambao nao wanadai wako katika njia ya Salaf – hii ni hatari. Kama alivyokuwa akifanya Abul-Hassan al-Ma´ribiy, akaanza kutukana Maswahabah kwa kauli yake kuwa wao ni Ghuthaaiyyah, na kukajitokeza wakumtetea kama ´Aliy Hasan ´Abdul-Hamiyd (al-Halabiy) za kinyume ya hao. Hawa watu suala lao li lingine mpaka watubie kwa Allaah (Subhaanahu wa Ta´ala). Suala lao ni lingine mpaka watubie kwa Allaah na wajue kuheshimu Salaf – Rahmah za Allaah ziwe juu yao wote. Salaf hawakuwa namna hii.

Ama kunakuja mtu kama ´Aliy Hassan ´Abdul-Hamiyd na (kutetea) Umoja wa dini zote na akatetea (hilo) na akatetea giza – katika kile kitabu potofu – na tunaomba kinga kwa Allaah. Isitoshe wala hajirejei, hili linakhalifu msingi wa Salaf kunako Tawhiyd na kusapoti uzanadiki (unafiki) na washirikina; kama alivyofanya Nabii Ibraahim (´alayhis-Salaam) na namna hii. Ikiwa yeyote atakhalifu msingi wa Salaf hata kama atadai yuko katika Sunnah sisi tutamtupa wakati huo huo, wala hatujali elimu yake. Hili lapaswa kujulikana!