Shaykh Mahir al-Qahtwaaniy Kuhusu Khaalid ar-Raashid

Shaykh Mahir al-Qahtwaaniy: Ama Daa´iy aitwae Khaalid ar-Raashid, hatujui kuwa yuko katika Da´wah ya Salafiyyah, khasa (kama inavyojulikana) yuko na mikanda ambayo inahamasisha kumfanyia uasi mtawala na Jihaad za Bid´ah kama nilivyowaambia. Siwanasihi kusikiliza mikanda yake.

Shaykh Mahir al-Qahtwaaniy:

Ama Daa´iy aitwae Khaalid ar-Raashid, hatujui kuwa yuko katika Da´wah ya Salafiyyah, khasa (kama inavyojulikana) yuko na mikanda ambayo inahamasisha kumfanyia uasi mtawala na Jihaad za Bid´ah kama nilivyowaambia. Siwanasihi kusikiliza mikanda yake.


  • Author: Shaykh Mahir al-Qahtwaaniy Tarehe: 18-10-2013
  • Kitengo: Uncategorized ,
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Friday 18th, October 2013