Shaykh Mahir al-Qahtwaaniy Kuhusu Khaalid ar-Raashid

Ama Daa´iy aitwae Khaalid ar-Raashid, hatujui kuwa yuko katika Da´wah ya Salafiyyah, khaswa (kama inavyojulikana) yuko na mikanda ambayo inahamasisha kumfanyia uasi mtawala na Jihaad za Bid´ah kama nilivyowaambia. Siwanasihi kusikiliza mikanda yake.