Shaykh as-Suhaymiy Kuhusu Facebook

Shaykh as-Suhaymiy: Mfano wa hayo makundi mengine ni la kisiasa, ambalo linalingania watu kwenye maandamano. Na hiyo ni alama miongoni mwa alama za Khawaarij Qudaamah, wao na wanaowasaidia wote, na wanaopita katika njia yao au kuwanusuru kupitia Internet, sawa ikiwa ni (tovuti) iitwayo Facebook au nyinginezo katika vifaa ambavyo vimekuwa ni sumu na maskani mwa watu waasi na Ahl-ul-Bid´ah, vibaraka vya Mayahudi na Manaswara ambao wamefanya ufisadi katika miji mingi. Hakika kuwasaidia ni katika kusaidizana katika dhambi na uadui. Allaah (Ta´ala) Amesema: وَتَعَاوَنُواْ عَلَى الْبرِّ وَالتَّقْوَى وَلاَ تَعَاوَنُواْ عَلَى الإِثْمِ وَالْعُدْوَانِ "Na saidianeni katika wema na uchaji Allaah. Wala msisaidiane katika dhambi na uadui." (05:02) Miongoni mwa hayo makundi maovu pia, ni yale makundi ambayo yanaona lengo (nia) nzuri inamjuzishia mtu njia. Wanaruhusu mambo ya Haramu kwa ajili ya kufikia mambo yao maovu.

Shaykh as-Suhaymiy:

Mfano wa hayo makundi mengine ni la kisiasa, ambalo linalingania watu kwenye maandamano. Na hiyo ni alama miongoni mwa alama za Khawaarij Qudaamah, wao na wanaowasaidia wote, na wanaopita katika njia yao au kuwanusuru kupitia Internet, sawa ikiwa ni (tovuti) iitwayo Facebook au nyinginezo katika vifaa ambavyo vimekuwa ni sumu na maskani mwa watu waasi na Ahl-ul-Bid´ah, vibaraka vya Mayahudi na Manaswara ambao wamefanya ufisadi katika miji mingi. Hakika kuwasaidia ni katika kusaidizana katika dhambi na uadui. Allaah (Ta´ala) Amesema:

وَتَعَاوَنُواْ عَلَى الْبرِّ وَالتَّقْوَى وَلاَ تَعَاوَنُواْ عَلَى الإِثْمِ وَالْعُدْوَانِ
“Na saidianeni katika wema na uchaji Allaah. Wala msisaidiane katika dhambi na uadui.” (05:02)

Miongoni mwa hayo makundi maovu pia, ni yale makundi ambayo yanaona lengo (nia) nzuri inamjuzishia mtu njia. Wanaruhusu mambo ya Haramu kwa ajili ya kufikia mambo yao maovu.


  • Author: Shaykh Swaalih bin Sa´d as-Suhaymiy. Tarehe: 19-10-2013
  • Kitengo: Uncategorized , Jamii
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Saturday 19th, October 2013