Shaykh an-Najmiy Kuhusu Nembo Ya Nike

Swali: Je inajuzu kununua nguo ambayo asli yake ni kutokana na mungu na inakuwa imeandikwa "Nike"? Ni jina la mungu. Jibu: Nini? Swali: Nike. Ni kwa kingereza. Shaykh an-Najmiy: Najikinga kwa Allaah. Muulizaji: Hata hivyo pamoja na kujua kuwa mungu huyu haabudiwi tena kwa sasa. Shaykh an-Najmiy: Kwa nini wanaandika majina haya ikiwa haabudiwi tena? Muulizaji: Linatamkwa hivyo. Sio kiarabu. Shaykh an-Najmiy: Mfano wa jambo kama hili ni lazima kulitupilia mbali. Ni lazima kuliongelea na kukumbushwa wale ambao wananunua bidhaa hizi (kuzileta katika nchi za Kiislamu) na kwamba hili ni jambo ambalo linakatazwa kwa Waislamu.

Swali: Je inajuzu kununua nguo ambayo asli yake ni kutokana na mungu na inakuwa imeandikwa “Nike”? Ni jina la mungu.

Jibu: Nini?

Swali: Nike. Ni kwa kingereza.

Shaykh an-Najmiy: Najikinga kwa Allaah.

Muulizaji: Hata hivyo pamoja na kujua kuwa mungu huyu haabudiwi tena kwa sasa.

Shaykh an-Najmiy: Kwa nini wanaandika majina haya ikiwa haabudiwi tena?

Muulizaji: Linatamkwa hivyo. Sio kiarabu.

Shaykh an-Najmiy: Mfano wa jambo kama hili ni lazima kulitupilia mbali. Ni lazima kuliongelea na kukumbushwa wale ambao wananunua bidhaa hizi (kuzileta katika nchi za Kiislamu) na kwamba hili ni jambo ambalo linakatazwa kwa Waislamu.