Shaykh al-Jaabiriy Kuhusu ´Abdul-Maalik Ramadhaaniy

Swali: Kuna swali kuhusu Shaykh ´Abdul-Maalik Ramadhaaniy. ´Ubayd: ´Abdul-Maalik Ramadhaaniy imekuwa siku hizi anachanga sana mambo na anakosa nia. Hafai. Swali: [Swali haliko wazi] ´Ubayd: Hapana, hapana. Siwanasihi kushikamana naye. Ni katika wafuasi wa al-Halabiy sasa. Swali: Vitabu vyake vya zamani vipo hapa Libya. ´Ubayd: Vitabu vya zamani mtu anaweza kuchukua elimu akastafidi kwavyo, na khaswa vile ambavyo vina Radd dhidi ya Khawaarij. Ni vizuri. Kwa mfano kitabu "Madaarik-un-Nadhwar". Ni kizuri. Swali: Ana kitabu hata cha Hijaab... ´Ubayd: Hakuna neno kusoma vitabu vya zamani. Lakini mtu huyu kwa sasa, amekuwa kama nimevyokwambia. Kuanzia miaka ya nyuma amekuwa hana tena nia. Anasapoti maneno na sifa za al-Halabiy kwa The Amman Message ambayo imejaa Kufuru.

Swali: Kuna swali kuhusu Shaykh ´Abdul-Maalik Ramadhaaniy.

´Ubayd: ´Abdul-Maalik Ramadhaaniy imekuwa siku hizi anachanga sana mambo na anakosa nia. Hafai.

Swali: [Swali haliko wazi]

´Ubayd: Hapana, hapana. Siwanasihi kushikamana naye. Ni katika wafuasi wa al-Halabiy sasa.

Swali: Vitabu vyake vya zamani vipo hapa Libya.

´Ubayd: Vitabu vya zamani mtu anaweza kuchukua elimu akastafidi kwavyo, na khaswa vile ambavyo vina Radd dhidi ya Khawaarij. Ni vizuri. Kwa mfano kitabu “Madaarik-un-Nadhwar”. Ni kizuri.

Swali: Ana kitabu hata cha Hijaab…

´Ubayd: Hakuna neno kusoma vitabu vya zamani. Lakini mtu huyu kwa sasa, amekuwa kama nimevyokwambia. Kuanzia miaka ya nyuma amekuwa hana tena nia. Anasapoti maneno na sifa za al-Halabiy kwa The Amman Message ambayo imejaa Kufuru.