Salamu Ya Uandishi

Je, tumuitikie mtu mwenye kututumia barua ambapo ndani yake ametusalimia kwa "as-Salaamu 'alaykum wa Rahmatullaahi wa Barakaatuh”? Kwa kuwa hasikii. Ikiwa kama na wewe utamwandikia unatakiwa ufanye namna hii: Kwa Jina la Allaah, Mwingi wa Rahmah, Mwenye kurehemu Kutoka kwa fulani bin fulani kwenda kwa fulani bin fulani J: Wa 'alaykumus-Salaam wa wa Rahmatullaahi wa Barakaatuh Mtu ni wajibu kwake kuitikia pindi anaposalimiwa. Hivo ndivyo jibu linavyotakiwa kuwa. Ikiwa barua haitojibiwa natumai mpokeaji ataitikia kwa kutamka hata kama hasikii (aliyeandika).

Je, tumuitikie mtu mwenye kututumia barua ambapo ndani yake ametusalimia kwa “as-Salaamu ‘alaykum wa Rahmatullaahi wa Barakaatuh”? Kwa kuwa hasikii. Ikiwa kama na wewe utamwandikia unatakiwa ufanye namna hii:

Kwa Jina la Allaah, Mwingi wa Rahmah, Mwenye kurehemu

Kutoka kwa fulani bin fulani kwenda kwa fulani bin fulani

J: Wa ‘alaykumus-Salaam wa wa Rahmatullaahi wa Barakaatuh

Mtu ni wajibu kwake kuitikia pindi anaposalimiwa. Hivo ndivyo jibu linavyotakiwa kuwa.

Ikiwa barua haitojibiwa natumai mpokeaji ataitikia kwa kutamka hata kama hasikii (aliyeandika).


  • Author: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn. Liqaa’ ash-Shahriy (48 A)
  • Kitengo: Uncategorized , Fiqh
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Monday 31st, March 2014