Salafiyyuun Wanatukanywa Katika Khutbah Ya Ijumaa

Pengine mtu akauliza kama ni wajibu kunyamaza katika Khutbah ya Ijumaa ambapo Ahl-us-Sunnah wanatukanywa. Hapana, sio wajibu kunyamaza. Chukua na usoma Qur-aan. Zungumza na rafiki yako juu ya suala la kielimu. Kwa sababu Allaah (´Azza wa Jalla) Amesema: يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا إِذَا نُودِيَ لِلصَّلَاةِ مِن يَوْمِ الْجُمُعَةِ فَاسْعَوْا إِلَىٰ ذِكْرِ اللَّـهِ وَذَرُوا الْبَيْعَ "Enyi mlioamini! Inaponadiwa [adhana ya] Swalaah siku ya Ijumaa, kimbilieni kwenye ukumbusho wa Allaah." (62:09) Hakusema kimbilieni katika kutukanywa kwa Waislamu. al-Bukhaariy na Muslim wamepokea kupitia kwa Ibn Mas´uud (Radhiya Allaahu ´anhu) kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ambaye amesema: "Kumtukana Uislamu ni dhambi kubwa na kumuua ni kufuru." Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema pia: "Yule mwenye kulaani hatoshuhudilia na wala hatoombea." Haitakikani kunyamaza kwa Khutbah kama hizi. Ninashangazwa kuona ndugu Qatar wanaenda kwa at-Twahhaan. Mzumgumzaji: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy Chanzo: Naswaaih wa Fadhwaaih, uk. 273 Toleo la: 18-12-2014 Imefasiriwa na: Wanachuoni.com

Pengine mtu akauliza kama ni wajibu kunyamaza katika Khutbah ya Ijumaa ambapo Ahl-us-Sunnah wanatukanywa. Hapana, sio wajibu kunyamaza. Chukua na usoma Qur-aan. Zungumza na rafiki yako juu ya suala la kielimu. Kwa sababu Allaah (´Azza wa Jalla) Amesema:

يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا إِذَا نُودِيَ لِلصَّلَاةِ مِن يَوْمِ الْجُمُعَةِ فَاسْعَوْا إِلَىٰ ذِكْرِ اللَّـهِ وَذَرُوا الْبَيْعَ
“Enyi mlioamini! Inaponadiwa [adhana ya] Swalaah siku ya Ijumaa, kimbilieni kwenye ukumbusho wa Allaah.” (62:09)

Hakusema kimbilieni katika kutukanywa kwa Waislamu. al-Bukhaariy na Muslim wamepokea kupitia kwa Ibn Mas´uud (Radhiya Allaahu ´anhu) kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ambaye amesema:

“Kumtukana Uislamu ni dhambi kubwa na kumuua ni kufuru.”

Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema pia:

“Yule mwenye kulaani hatoshuhudilia na wala hatoombea.”

Haitakikani kunyamaza kwa Khutbah kama hizi. Ninashangazwa kuona ndugu Qatar wanaenda kwa at-Twahhaan.

Mzumgumzaji: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
Chanzo: Naswaaih wa Fadhwaaih, uk. 273
Toleo la: 18-12-2014
Imefasiriwa na: Wanachuoni.com


  • Kitengo: Uncategorized , at-Twahhaan, ´Abdur-Rahiym
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Thursday 18th, December 2014