Salafiyyuun Tu Ndo Hawapakani Mafuta Katika Da´wah

Allaah (Ta´ala) Anasema: مُّحَمَّدٌ رَّسُولُ اللَّهِ وَالَّذِينَ مَعَهُ أَشِدَّاء عَلَى الْكُفَّارِ رُحَمَاء بَيْنَهُمْ تَرَاهُمْ رُكَّعًا سُجَّدًا “Muhammad ni Mtume wa Allaah. Na waliopamoja naye wana nguvu mbele ya makafiri, na wanahurumiana wao kwa wao. Utawaona wakiinama na kusujudu.” (48:29) Yaani wanamuabudu Allaah na kumtii Allaah na Mtume Wake, wanaswali, wanafunga, wanashikamana [na haki], wanawachukia makafiri na wameghadhibika nao, na ni wenye kuhurumiana wao kwa wao katika Qur-aan na Sunnah. Ama kupakana mafuta - kupakana mafuta... Pote au kundi linalopakana mafuta katika haki kidogo kidogo hawako katika haki aliokuwemo Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) na Maswahabah wake. Kuna watu wanaopakana mafuta. Wao ni katika yale makundi sabini na mbili. Na ni kundi limoja tu ambalo halipakani mafuta. Ni hili kundi [lililoshikamana na aliokuwemo Mtume na Maswahabah wake]. Makundi sabini na mbili yanapakana mafuta. Wao wanakubali kupakana mafuta. Yaani wao wanakubali kupakana mafuta, wako huku na kule, utawaona wako na Mashia, Masufi, mpaka utaowaona na Mayahudi na Manaswara. Kupakana mafuta! Mtume (´alayhis-Salaam) aliashiria hili: "Na utagawanyika Ummah huu katika makundi sabini na tatu. Yote yataingia Motoni ila kundi limoja tu." Yaani makundi sabini na mbili yanapatikana mafuta, hata kama wanatofautiana katika kupakana kwao mafuta. Kuna wanaopakana mafuta asilimia 50%, 20%, 30%, 60%... Wanatofautiana. Kuna kundi moja tu lisilopakana mafuta. Walihongwa kupakana mafuta wakasema "Hapana!". Basi hatuwapi kitu - si vyeo, nafasi wala pesa... Kila kundi lina nafasi katika jimbo kwa kuwa wamepakana mafuta. Hivyo wakapata. Isipokuwa tu wale walioshikamana [na haki]. وَاللَّهُ خَيْرٌ وَأَبْقَى ”Allaah Ndiye Mbora na Mwenye kudumu zaidi.” (20:73)

Allaah (Ta´ala) Anasema:

مُّحَمَّدٌ رَّسُولُ اللَّهِ وَالَّذِينَ مَعَهُ أَشِدَّاء عَلَى الْكُفَّارِ رُحَمَاء بَيْنَهُمْ تَرَاهُمْ رُكَّعًا سُجَّدًا

“Muhammad ni Mtume wa Allaah. Na waliopamoja naye wana nguvu mbele ya makafiri, na wanahurumiana wao kwa wao. Utawaona wakiinama na kusujudu.” (48:29)

Yaani wanamuabudu Allaah na kumtii Allaah na Mtume Wake, wanaswali, wanafunga, wanashikamana [na haki], wanawachukia makafiri na wameghadhibika nao, na ni wenye kuhurumiana wao kwa wao katika Qur-aan na Sunnah. Ama kupakana mafuta – kupakana mafuta… Pote au kundi linalopakana mafuta katika haki kidogo kidogo hawako katika haki aliokuwemo Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) na Maswahabah wake.
Kuna watu wanaopakana mafuta. Wao ni katika yale makundi sabini na mbili. Na ni kundi limoja tu ambalo halipakani mafuta. Ni hili kundi [lililoshikamana na aliokuwemo Mtume na Maswahabah wake].
Makundi sabini na mbili yanapakana mafuta. Wao wanakubali kupakana mafuta. Yaani wao wanakubali kupakana mafuta, wako huku na kule, utawaona wako na Mashia, Masufi, mpaka utaowaona na Mayahudi na Manaswara. Kupakana mafuta! Mtume (´alayhis-Salaam) aliashiria hili:
“Na utagawanyika Ummah huu katika makundi sabini na tatu. Yote yataingia Motoni ila kundi limoja tu.”

Yaani makundi sabini na mbili yanapatikana mafuta, hata kama wanatofautiana katika kupakana kwao mafuta. Kuna wanaopakana mafuta asilimia 50%, 20%, 30%, 60%… Wanatofautiana.
Kuna kundi moja tu lisilopakana mafuta. Walihongwa kupakana mafuta wakasema “Hapana!”. Basi hatuwapi kitu – si vyeo, nafasi wala pesa… Kila kundi lina nafasi katika jimbo kwa kuwa wamepakana mafuta. Hivyo wakapata. Isipokuwa tu wale walioshikamana [na haki].

وَاللَّهُ خَيْرٌ وَأَبْقَى
”Allaah Ndiye Mbora na Mwenye kudumu zaidi.” (20:73)