Rukhsa Kwa Mume Kutazama Na Kugusa Akitakacho Kwa Mke Wake

Sio haramu kwa mume kutazama au kugusa kitu chochote kwenye mwili wa mke wake. Hata hivyo, inasemekana inachukizwa kutazama tupu na inasemekana vilevile kuwa haikuchukizwa maadamu si katika wakati wa kujamiiana na Allaah ndiye Anajua zaidi.

  • Author: Shaykh-ul-Islaam Ahmad bin Taymiyyah. al-Fataawaa al-´Iraaqiyyah (1/141)
  • Kitengo: Uncategorized , Fiqh
  • Mfasiri: https://wanachuoni.com
  • Imechapishwa: Tuesday 17th, December 2013