Radd Kwa Murji-ah

Shaykh Abu ´Abdul-Haliym ´Abdul-Haadiy: Matendo mema kwa Murji-ah hayaingii katika Imani, kwa kuwa Imani kwao ni mtu kusadikisha peke yake. Zini, iba, uwa wewe bado ni muumini mwenye Imani kamili, bali Imani yako bado ni kama Imani ya Jibriyl (´alayhis-Salaam). Hawa watu ndo Murji-ah. Bila shaka waja wa Allaah, Irjah kwa maana hii ni kufuru inayomtoa mwenye kuitakidi hivi katika Uislamu. Imani hakuna budi lazima iwe kwa kutamka kwa ulimi, kuamini kwa moyo, na matendo ya viungo. Moja katika haya likitako, mtu hawi muumini. Na Qur-aan Kariym inatoa dalili kuwa matendo mema yanaingia katika Imani.

Shaykh Abu ´Abdul-Haliym ´Abdul-Haadiy:

Matendo mema kwa Murji-ah hayaingii katika Imani, kwa kuwa Imani kwao ni mtu kusadikisha peke yake.
Zini, iba, uwa wewe bado ni muumini mwenye Imani kamili, bali Imani yako bado ni kama Imani ya Jibriyl (´alayhis-Salaam). Hawa watu ndo Murji-ah.

Bila shaka waja wa Allaah, Irjah kwa maana hii ni kufuru inayomtoa mwenye kuitakidi hivi katika Uislamu. Imani hakuna budi lazima iwe kwa kutamka kwa ulimi, kuamini kwa moyo, na matendo ya viungo. Moja katika haya likitako, mtu hawi muumini. Na Qur-aan Kariym inatoa dalili kuwa matendo mema yanaingia katika Imani.