Rabiy´ al-Madkhaliy Afghanistan

Shaykh Rabiy´ bin Haadiy al-Madkhaliy - Allaah Amhifadhi - alitoa Fatwa kwamba Moluccas[1] kuna Jihaad kabla ya Shaykh Muqbil kufanya hivyo. Shaykh Rabiy´ mwenyewe alishiriki katika Jihaad ya Afghanistan. Alisafiri mara tatu kwenda Afghanistan. Shaykh Khaaliq adh-Dhwufayriy amesema pia: "Ni kweli ya kwamba Shaykh Rabiy´ alisafiri mara tatu kwenda kwa Shaykh Jamiyl-ur-Rahmaan (Rahimahu Allaah) Afghanistan. Alikuwa juu mlimani na kupiga silaha. Hili lilielezwa na Shaykh mwenyewe kunambia mimi na hali kadhalika waliokuwa na Shaykh. Hili linaonesha ujasiri wa Mashaykh zetu tofauti na wale wanaopiga kelele leo ya Jihaad usiku na mchana na wakati huo huo wako nyuma wakikimbizana na pesa na umati wa watu ili waamini kuwa ni Mujaahiduun wa kikweli. Linaloshtaajabisha zaidi ni kuliko hilo ni kwamba, Hizbiyyuun mara ya kwanza walikataa Jihaad Afghanistan na wakaonelea kuwa huko hakuna Jihaad kabisa. Lakini walipoonelea kuwa hakuna njia nyingine na kuwa wanaweza kutumia fursa ya hali kwa maslahi yao, walisema miongoni mwa mambo mengine: "Allaah ni Mkubwa! Kabul imeshinda!" ------------------ (1) http://en.wikipedia.org/wiki/Maluku_Islands

Shaykh Rabiy´ bin Haadiy al-Madkhaliy – Allaah Amhifadhi – alitoa Fatwa kwamba Moluccas[1] kuna Jihaad kabla ya Shaykh Muqbil kufanya hivyo. Shaykh Rabiy´ mwenyewe alishiriki katika Jihaad ya Afghanistan. Alisafiri mara tatu kwenda Afghanistan.

Shaykh Khaaliq adh-Dhwufayriy amesema pia:

“Ni kweli ya kwamba Shaykh Rabiy´ alisafiri mara tatu kwenda kwa Shaykh Jamiyl-ur-Rahmaan (Rahimahu Allaah) Afghanistan. Alikuwa juu mlimani na kupiga silaha. Hili lilielezwa na Shaykh mwenyewe kunambia mimi na hali kadhalika waliokuwa na Shaykh.

Hili linaonesha ujasiri wa Mashaykh zetu tofauti na wale wanaopiga kelele leo ya Jihaad usiku na mchana na wakati huo huo wako nyuma wakikimbizana na pesa na umati wa watu ili waamini kuwa ni Mujaahiduun wa kikweli. Linaloshtaajabisha zaidi ni kuliko hilo ni kwamba, Hizbiyyuun mara ya kwanza walikataa Jihaad Afghanistan na wakaonelea kuwa huko hakuna Jihaad kabisa. Lakini walipoonelea kuwa hakuna njia nyingine na kuwa wanaweza kutumia fursa ya hali kwa maslahi yao, walisema miongoni mwa mambo mengine:

“Allaah ni Mkubwa! Kabul imeshinda!”

——————
(1) http://en.wikipedia.org/wiki/Maluku_Islands