Qaswiydah “Yaa Twaybah” Ni Shirki

Kuhusu Anashiyd (Qaswiydah). Mimi nataka kuwaeleza kitu. Hivi kwenye Haram kunauzwa mkanda "Yaa Twaybah [Ewe Mtume!]", "Yaa Twaybah". Hii ni Shirki. Hii ndio Shirki yenyewe. Unamuomba "Twaybah" badala ya Allaah. "Ewe dawa ya kila ugonjwa." Ni nani anayeponyesha maradhi? Allaah ni Twaybah? Utapomwita Twaybah akuponye wewe ni mshirikina. Hata baina ya watoto leo unazikuta kwenye simu na kila mahala. "Yaa Twaybah", "Yaa Twaybah". Zipo kwenye Haramu katika mikanda. Mche Allaah na tahadhari nafsi yako! Kuna matamshi wanayasema baadhi ya watu ni kufuru nao hawajui, hawajui kuwa ni kufuru. Kusema kuwa wana udhuru au hawana hilo ni kwa Allaah hatujui. Lakini ni Shirki [na anayesema hivi] ni mshirikina. Tahadhari! Tahadhari kwa hili!

Kuhusu Anashiyd (Qaswiydah). Mimi nataka kuwaeleza kitu. Hivi kwenye Haram kunauzwa mkanda “Yaa Twaybah [Ewe Mtume!]”, “Yaa Twaybah”. Hii ni Shirki. Hii ndio Shirki yenyewe. Unamuomba “Twaybah” badala ya Allaah. “Ewe dawa ya kila ugonjwa.” Ni nani anayeponyesha maradhi? Allaah ni Twaybah? Utapomwita Twaybah akuponye wewe ni mshirikina. Hata baina ya watoto leo unazikuta kwenye simu na kila mahala. “Yaa Twaybah”, “Yaa Twaybah”. Zipo kwenye Haramu katika mikanda. Mche Allaah na tahadhari nafsi yako! Kuna matamshi wanayasema baadhi ya watu ni kufuru nao hawajui, hawajui kuwa ni kufuru. Kusema kuwa wana udhuru au hawana hilo ni kwa Allaah hatujui. Lakini ni Shirki [na anayesema hivi] ni mshirikina. Tahadhari! Tahadhari kwa hili!